Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hahaha tunajielewa humu full kupeana raha
Hhhhaaaaaa angalia star tv basiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha tunajielewa humu full kupeana raha
Niliangalia interview moja alikua analalamika saana kuwa alikua anapigwa sana na P funky enzi zile ana upara wake
Siku hizi ni mambo ya Brazilian hair tu
Au kichwan imevaliwaaaa
Hhhhaaaaaa angalia star tv basiii
Mbuzi zimekata kamba hapo naskia kodi mgogoro...wadada wa town walikuwa wanamsemaKapata pesa akatengeneze ile nido sasa maana inafika kwenye kitovu ayarudishe yawe saa sita akikaa bila bra hutaamini kama ni yeye
Nisimulie basi au wanaonesha mbwa mwitu?
Kulikua na Futuhi tu
Nawamind hao wasela sana
Mim yule muha hua ananichekeshaaa
Oi kesho mi nalalaa
Usiku mwema ehh uniote
Una uhakika kama biological Father ni P Funk?
hivi ule upara wake kwani hauoti nywele? ila unampendeza sana
Najua basi...., upara nao una watu na watu wengine wakinyoa ka wanafunzi wa primary
Halo haloooooio asie na mwana abebe mbwaa ndo nishasema ...
Hutaki pita hiviiiiiiiiiiu
Hhhhaaaaaaaa kajala awe busy na mwanae tu sio marafiki wapuuzi kusemana tuuu
Utaona kajibu ataenda na mbwa wake China kumfanyia surgery ya uso afanane nae
Huu ubuyu wa humu ni hatariiii kwa afya!!Warumi boss wangu itabidi arudi chuo cha mafunzo maana kaachwa mbaliii mnooo...
Huyu mtoto naona anamkaribia Lulu!! muepushie hii kitu