Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Ila wema yale mata.ko kama box
Yani usipomuweka Wema hupati upepo hehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wema yale mata.ko kama box
Sasa hakuna mmbea Kama kajala. Anatumia ukimya kuficha maovu. Hadi walimchoka wakamrikodi akifilimba umbea
Yani usipomuweka Wema hupati upepo hehe
tenaaaaaaaaaa!!!!
Jamani nami nimekua fulan nikizidiwa hoja lazima niangalie upande wa pili teh tehhhh
Mmekimbiza watu kipande hii manake mligeuka max mello
Hhhhhhhaaaaaaaaaaa mi leo mpaka nimechoka kuchekaaa
Chezea 3 sum ww utarudi name chu..pi mkononi
Au kichwan imevaliwaaaa
Si unaona mrembo by nature anavyopigilia nondooo za kupondaa ni shidaaaa
Me sijapenda ile bantu body na ufupi...japo mie si mrefu
Ila still ni mzuri bana hana michirizi shape yake haina mabonde kama rift valley ana mvuto wa kiafrica bana
Zile nywele Hazina upatanisho na damu ya shombe
hahaaaaaa
we na dina mnanichekesha sana
Wamekoboana sana na Wema
washenzi tu ndo mana ni ngumu kuelewana tena!
Mi na by nature hapo tu hua tunashindwana,lakini poa tu muda mwingine tunakua timu moja siku nyingine tunapishana kama wewe tunampenda kay ikifika kwa kiba tunapishana hhhhhhaaaa uzuri tunastahimili utani na vijembe lasivyo tusingesemeshana humu ndani
hahaahaaaa....
kiba 4ril...!!!
hagombani mtu hapa...!!!
hahaaaaaa
we na dina mnanichekesha sana
Hahaha tunajielewa humu full kupeana rahaMi na by nature hapo tu hua tunashindwana,lakini poa tu muda mwingine tunakua timu moja siku nyingine tunapishana kama wewe tunampenda kay ikifika kwa kiba tunapishana hhhhhhaaaa uzuri tunastahimili utani na vijembe lasivyo tusingesemeshana humu ndani