Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

hahaaaaaa
we na dina mnanichekesha sana

Mi na by nature hapo tu hua tunashindwana,lakini poa tu muda mwingine tunakua timu moja siku nyingine tunapishana kama wewe tunampenda kay ikifika kwa kiba tunapishana hhhhhhaaaa uzuri tunastahimili utani na vijembe lasivyo tusingesemeshana humu ndani
 
hahaahaaaa....
kiba 4ril...!!!
hagombani mtu hapa...!!!
 
Mi na by nature hapo tu hua tunashindwana,lakini poa tu muda mwingine tunakua timu moja siku nyingine tunapishana kama wewe tunampenda kay ikifika kwa kiba tunapishana hhhhhhaaaa uzuri tunastahimili utani na vijembe lasivyo tusingesemeshana humu ndani
Hahaha tunajielewa humu full kupeana raha
 
Back
Top Bottom