Kajala na Clement Mambo Hadharani


Kuna moja ngoja niitafute ina sms za kajala wanachat na ck ina hadi namba za cm
 

Mmmh Dada Dina una maneno makali aisee. Kitendo cha kumrdishia hiyo pesa si cha kiungwana kabisa. Hiyo pesa aliitoa kwa mapenzi yake kwa rafiki yake. Akisema azirudishe leo watu watauliza mbona hakuweza kujidhamini wakati ule?!!

Wema wakati anatoa pesa hiyo si ni nyinyi ndo mlimpongeza kwa kitendo kile cha ubibadamu?! Kwani yeye Wema hakuwa na mahitaji ya hiyo pesa au ni wangapo walikuwa na pesa hiyo hawakujitokeza kumuokoa na kifungo?!! Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Wema kafanya jambo jema sana. Hayo mengine tuwaachie wao wenyewe.
 

Mi sikupongezaaaa kwanini amsimangeeee
 
Matola Warumi muache unapenda kumuoneaa nenda kwa wakubwa wenzio akina Ritz na @khataan pia na lusungo muache warumi banaa
 
Last edited by a moderator:
Comments za WARUMI zinaonyesha ana AMA ana Vivu,Uchungu, Husuda na KAJALA kwa kutoka na mkware Clement. Wema na Kajala wote wezi tu wa mume wa mtu na hakuna wa kumlaumu mwenzake hasa kwa sababu Wema alishaachana na CL. Wote wanatakiwa wakatubu kwa MUNGU na wakamwombe msamaa mke wa Clement
 
Matola Warumi muache unapenda kumuoneaa nenda kwa wakubwa wenzio akina Ritz na @khataan pia na lusungo muache warumi banaa

kweli we mama shughuri yaani umbea ulivyokukolea sipati picha.

njoo jukwaa la kazi kuna nafasi 6 wanatakiwa moderators wapya.
 
Last edited by a moderator:

Ndo ujue kuwa Mimi sina timu , maana akina Mrembo by Nature wanasemaga mi namponda wema tu , mm sina team wala ushabiki na mtu , wote hao makahaba
 
Last edited by a moderator:
Kuna message zimekutwa za kajala kwenye cmu ya ck , sasa hawala wake mwingine anaitwa najma ndo kazisambaza zimeenea sana kule instagram na namba za simu za kajala zipo kwenye hzo message , inshort kajala .

hizo msg zinaonyesha kajala hana mpango na clement. clement ndio anambembeleza kajala.
 
hizo msg zinaonyesha kajala hana mpango na clement. clement ndio anambembeleza kajala.

Hapana chezea mk0ndu wa kajala , lazima ambembeleze mavi yote Yale halaf kitu original no mchina kama wema
 
warumi picha ya Clement Kihondo imepatikana huko Insta ushaipata wewe? Mambo kweupe na anapofanyia kazi hadi ofisi imetajwa. Ubuyu mpya huo bye
 
Last edited by a moderator:
warumi picha ya Clement Kihondo imepatikana huko Insta ushaipata wewe? Mambo kweupe na anapofanyia kazi hadi ofisi imetajwa. Ubuyu mpya huo bye
Ubuyu mchachujeee
 

Attachments

  • 1399551557492.jpg
    49.6 KB · Views: 229
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…