Kajala na Clement Mambo Hadharani

Basi wametusaidia kutufikishia ujumbe uko , ivi Uzi wa ommy dimpoz umefutw? Nilikuwa nataka Ku comment wanasema siruhusiw , maana watu wamempa vichambo vya haja , Mimi nae sio mtu mzuri aaah aaaah

Ndio maana nautafuta siuoniii acha kabisaaa wacha watusomeeerr tuuu na sie tutaandikaa tu
 
Ndio maana nautafuta siuoniii acha kabisaaa wacha watusomeeerr tuuu na sie tutaandikaa tu

Wangetuacha kidog maana kuna umbea wake nilisahau kuutoa , yaan bado nipo nae ntafungua Uzi wake mwingine tu
 
Wangetuacha kidog maana kuna umbea wake nilisahau kuutoa , yaan bado nipo nae ntafungua Uzi wake mwingine tu

Hahhhhaaaaa itakua wanahis tunataka tumtaje mh.first class wakati sie ni sirii yetu banaaa funguaa
 
Hahhhhaaaaa itakua wanahis tunataka tumtaje mh.first class wakati sie ni sirii yetu banaaa funguaa

Na umbea wote ata utuchape na fimbo mh first class hatumtaji ng'o
 
Nimepata nong'ono mama kibunju , hihiiii yani PM yangu imejaa maubuyu had mimi mwenyew naiogopaa
 
Last edited by a moderator:
Nimepata nong'ono mama kibunju , hihiiii yani PM yangu imejaa maubuyu had mimi mwenyew naiogopaa

Nitumie na mimiii ila usiwe unatumia kila mtu utatumia wengine ambao ni wahusikaaa si unaona watu wanavyokop utashangaa pm yako ipo instaa
 
Last edited by a moderator:
Nitumie na mimiii ila usiwe unatumia kila mtu utatumia wengine ambao ni wahusikaaa si unaona watu wanavyokop utashangaa pm yako ipo instaa

Soon nakupandia pm binamu , Mimi na wewe tena?
 
Attachments

  • 1399634336064.jpg
    63.7 KB · Views: 178
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1399635480334.jpg
    42.3 KB · Views: 147
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…