Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Basi wametusaidia kutufikishia ujumbe uko , ivi Uzi wa ommy dimpoz umefutw? Nilikuwa nataka Ku comment wanasema siruhusiw , maana watu wamempa vichambo vya haja , Mimi nae sio mtu mzuri aaah aaaah
Ndio maana nautafuta siuoniii acha kabisaaa wacha watusomeeerr tuuu na sie tutaandikaa tu