Kajala na Clement Mambo Hadharani

Ahh washamchokaaaa Wemaa

Halafu kumbe kajala yupo zake china anakula bata , watu uku bongo mapovu yanawatoka , dah maisha bwana , nasikia wema anahojiwa east Africa TV , ebu angalia maana Mimi nipo kwa mishe now , halaf utanipa maubuyu
 
Sasa wema ana wivu gani wakat alishaachana na clement..
 
Halafu kumbe kajala yupo zake china anakula bata , watu uku bongo mapovu yanawatoka , dah maisha bwana , nasikia wema anahojiwa east Africa TV , ebu angalia maana Mimi nipo kwa mishe now , halaf utanipa maubuyu

Binam tutaicheki kwenye youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…