Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shamim kitu kimetiki kajifungua baby boy..................................
Congrats kwake
Sasa wema ana wivu gani wakat alishaachana na clement..
Halafu kumbe kajala yupo zake china anakula bata , watu uku bongo mapovu yanawatoka , dah maisha bwana , nasikia wema anahojiwa east Africa TV , ebu angalia maana Mimi nipo kwa mishe now , halaf utanipa maubuyu
Hadi nikajiuliza hawa ni akina Dinazarde na qn of sheba nn? Maana hii ni copy paste , safi sana kama ujumbe ulifika
Hongera zake, Mola amkuzie dume lake Inshaallah