Atakua kaota suguu kwenye K
kinachonishangaza mimi huyu clement siyo mfanyabiashara bali ni mtumishi wa serikali tena ikulu! mpuuzi mkubwa sana huyu.
mitaani watoto bomba wa kumwaga jitu kubwa zima mpaka leo linaona ni ujanja na sifa kukaa uchi na watoto wa bongo movie.
idara ya usalama wa taifa iko rikizo
Binamu unajua Clement hana timu ?? Ngoja tumuundie timu na mm ndo mwenye kiti , naona watu wanamzonga sana.
Haya kwanzia sasa ivi wema arudishe gari letu la pink haraka iwezekanavyo lile harrier Lexus , kama kweli hamtak kaka yetu , lasi hivyo tutaendelea kumla kipwapwiso
Boss clement tumpigie simu yule Jamaa wa TRA akalikamate gari la wema linadaiwa pesa nyingi , boss tumfanyie kama tulivyofanya kwenye ile Audi q7. Popote tutakampo muona wema boss Kasema arudishe gari haraka iwezekanavyo

Hahhhhahhhhhahhhhahhha uwiiiii Wema rudisha garii la Clement banaa daimond nae akununulieee ye anasugua buree banaaa kulala alalie kitanda cha mwingineer anunue nae si mwanaumeee wema rudishaa gariiii hilo
kwani kuna ushaidi gani hapa kuwa kajala anatoka na clement? mbona ni uzushi ule ule tu nauona hapa..
mwanaume yeyote anayemnyang'anya demu vitu alivyompa baada ya utamu ni mshamba tu, hebu na yeye arudishe utamu alioupata kwa wema ili waexchange deal.
ushamba mzigo kwelikweli.

Arudisheee heheeeer toka linii mwanaume na akili zako ukalalia kitanda alichonunua mwanaume mwenzioooo huo ni ushogaaaaaa Daimondo nunua kitanda na garii acha kutumia vitu vya Clement hata pikipiki umeshindwaa kumnunuliaa mama ubayaaaa lol acha ubahiliii
Kwan Clement alikua anampa uchunguuu si utamuuuu huo huo na maisha kamtengenezeaa Wemaaa,huyo domo ni mwanaume suruali tu,acheni Kajala ale vitu banaa ni zamu yake huyo Ck hana hatimiliki na Wemaaaa
Angekuwa angalau na uchumba na Wema sawa ila hawara Kajala jilie vyako mwaya