warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #21
Atakua kaota suguu kwenye K
Binamu unajua Clement hana timu ?? Ngoja tumuundie timu na mm ndo mwenye kiti , naona watu wanamzonga sana.
Haya kwanzia sasa ivi wema arudishe gari letu la pink haraka iwezekanavyo lile harrier Lexus , kama kweli hamtak kaka yetu , lasi hivyo tutaendelea kumla kipwapwiso
Boss clement tumpigie simu yule Jamaa wa TRA akalikamate gari la wema linadaiwa pesa nyingi , boss tumfanyie kama tulivyofanya kwenye ile Audi q7. Popote tutakampo muona wema boss Kasema arudishe gari haraka iwezekanavyo