Kajala na Clement Mambo Hadharani

View attachment 156375
 
Asingekua Clement sasa hiv asingepita juanii ng'ooooooo mbona ye Clement hajataka amgeuze zombieeee Kajala gooooooooooi live ur life mamaaaa acha watesekee domo nae dudu mkononi akipenda muonjeshe maana habagui ladhaaaa hureeeeeeeeeeeeeeeweew ukipenda mwanaume wa peke yako mzae mwenyewee
Kasoro wanguu tuuu ndio hatimiliki nnayoooo hahhhhaaaa
 
ile interview ilinisikitisha sana

Pale ndo niliona kajala mnafk sana , ila kama wema na kajala ugomvi wao ni kuhus clement wangeyamaliza tu coz clement alikuwa ni buzi la wema sidhan kama alikuwa anampenda kama diamond.

Japokuwa wema alishafunguka kuhusu ugomvi wake na kajala kuwa kuna siku walienda arusha kwenye show ya mirror wema akamuomba kajala laki mbil tena amkopeshe Sijui aongezee kwa ajil ya show , nasikia kajala akawa anamzungumzia wema vibaya kwa watu kuwa anatengeneza show halafu hela hana , kidizaidn alimkashfu kama kawa wapambe wakampelekea wema , wema ndo akam mind sana kajala kuwa mbona yeye alimlipia mil 13 , yeye kumuomba lak 2 tena ya mkopo ndo amseme vbya ?? Wema aliumia sana .

Nadhan kajala ndo alimkosea wema kwa kuwa alivyohojiwa na zama alisema alishawah mfuata wema wayamalize wema akakataa sasa apo kama mtu umafikir vzur utajua kweli kajala alikosea
 
Angekuwa angalau na uchumba na Wema sawa ila hawara Kajala jilie vyako mwaya

Watu waache kumzonga kajala, muache ajilie vyake , nani asiyejua kuwa clement ni buzi?? Watu wapo kwa kaka clement ki maslah nasikia kaka anamjengea mjengo wa adabu kajal uko mbwen
 
Mfadhili mbuzi tu, baadae utamnywa supu ujilie na chapati....

Ndio hivyooi Clement cha wote,wema cha wote ,dai cha wote .wamuache kajalaa mwenye hatimiliki ya Clement ni mama yakee tuu wengine ni wawekezajiiiii
 
Team wema ni m@laya kama boss wao , yani kaka yetu clement wanamtaka na diamond naye wanamtaka , hapana chezea madolali ya kaka clement, hatumtak tena huyo na gari letu mrudishe
 
Watu waache kumzonga kajala, muache ajilie vyake , nani asiyejua kuwa clement ni buzi?? Watu wapo kwa kaka clement ki maslah nasikia kaka anamjengea mjengo wa adabu kajal uko mbwen

Kajala atumie fursa effective mambo yake yamnyokee hata biashara hata wakimtukana hamna tusi jipya wala acjali tena ahakikishe nyumba imekamilika vzur Kajala goooo
 
Binamu unajua had wafanyakaz wa kampuni ya kaka clement ile ya endless fame walikuwa wanamlalamikia wema kurudiana na diamond ?? Walisema diamond hana ubavu wa kuwalipa wafanyakaz wote na kuifanya kampuni iwe hai kama ilivyokuwa kwa kaka Clement , yaani huwez amini wafanyakaz wamefukuzwa kaz , wema kawadanganya atawaruidisha ngoma had Leo kimya, sasa ivi nyumba anayokaa wema ukuti watu kama zaman , maana zaman shereh kila kukicha , na ivi c unajua ile nyumba kashafukuzwa eeh??
 
Zamani watu walikua wanajaa kula au kufanyajee kisa mapene yalikuwepooo ninii domo bahili sijapataa achana na mwanaume Clement weweee anajua kutumia pesa hadi watu wanachanganyikiwaaa,nipe umbeya wa nyumbaaaaa mbona hatokiiiiiimoooooo banaa Clement anamcheleweshaaaaa
 
Kajala atumie fursa effective mambo yake yamnyokee hata biashara hata wakimtukana hamna tusi jipya wala acjali tena ahakikishe nyumba imekamilika vzur Kajala goooo

Hata Prezidaa Kilazaa alisema tutumie Fursa inapopatikanaaa so Kajala uchumi anaoo kwanini aukalishee tu mwisho wa siku akifaa uliwe na nyenyere wakati watumiaji na watunzaji wapoooo hureeeeeeeeeeer KAJALA KULA VITU UMASIKIN TUMEZALIWA NAO UKIFA NAO UMEJITAKIAAAAAA
 
Unaambiwa kuzaliwa maskini sio kosa , kosa ni kufa maskini
 
Ndio hivyooi Clement cha wote,wema cha wote ,dai cha wote .wamuache kajalaa mwenye hatimiliki ya Clement ni mama yakee tuu wengine ni wawekezajiiiii

We differ kwakweli, kwenye hili sina ushabiki
ila mi kama mi mwanaume ambae alikuwa na rafiki angu siwezi kumkaribia
hata kama weachana kwa ngumi na mateke, hata kama mi na shost angu ushost umekufa
mwanaume ambae alishawahi kuwa nae no plzzzz
 
Ivi sikukupa umbea?? Mbona kashahama kwenye ile nyumba yetu? Mbona kitambo sana binamu ?? Wee angalia kile kipindi cha wema ile episode ya peti aliyokula pesa umuone martin wakat anangia ndan na funcargo , ukiangalia mandhari ya nje utaona ni tofauti na lile hekalu tulilompangia kule mwananyamala.

Watu wengi wanachanginyikiwa na kujua ni nyumba ile ile kwa kuwa decorations za ukutan ni sawa na za ile ya nyumba yetu tuliyompangia, Yale ni makaratas wanabandikag ukutan yana act kama rangi , na vitu vya thaman tulimwachia ndo maana mapambo ya ndani yanafanana na ile nyumba yetu. Tulishamfukuza zaman mbona.
 
We differ kwakweli, kwenye hili sina ushabiki
ila mi kama mi mwanaume ambae alikuwa na rafiki angu siwezi kumkaribia
hata kama weachana kwa ngumi na mateke, hata kama mi na shost angu ushost umekufa
mwanaume ambae alishawahi kuwa nae no plzzzz

Ni kweliii usemayoo lakini kwa hili la Wemaa Hapana yeye mwenye k mkononiii ndio maana namteteaa Kajalaa,angalia na Kwa Wemaa ,wema angekua katulia tungesema kaonewaa kumbukaaa ukiiba lazimaa uibiweeeee
 
Heeee kumbe ashatolewaaa sikujuaa ndio maana nyumba imekua tofautiiiii uwiiiiiii ndio hio kapangishiwa na Domoooo au!!
 
safi sana binamu , hiki ndicho watu wanachomlalamikia kajala kwa nini atembee na mtu aliyetoka na wema ??, ila nikukumbushe tu , Clement sio Mali ya wema , ata yeye alikosea sana kutembea na Clement wakat anajua ni mume wa mtu , kimsingi wema, kajala na najma ni michepuko tu , mwenye Mali halal katulia zake anaangalia tu wanavyopapatika na mume wake. Watu hawana mamlaka ya kumhukumu kajala , hata ungekuwa wewe ungefanya kama kajala , pesa ina nguvu sana , sidhan kama mwanamke yeyote mwenye njaa angemuache clement apite ivi iv .
 
Heeee kumbe ashatolewaaa sikujuaa ndio maana nyumba imekua tofautiiiii uwiiiiiii ndio hio kapangishiwa na Domoooo au!!

Vitu unaviona apo kwenye picha ndo mali tulizo mkabidh wema enz wa uhai wa penz lake na kaka Clement.

Hiyo rangi ya ukuta unayoina ndo ya nyumba tuliyompangia kule m nyamala, ukiangalia ukuta wa sasa ivi hauko ivyo

Na ayo ni baadh ya magar tuliyomkabidh wema enz za kaka yetu , kuna Toyota mark x, Audi q7 , taarifa nzur ni kuwa magar yote tumeyachukua limebak harrier Lexus la pink tu , tuachane nae mazima , sasa tutaendelea kumla kipwapwiso had arudishe gari.
 
Attachments

  • 1399448468220.jpg
    85 KB · Views: 528
Ni kweliii usemayoo lakini kwa hili la Wemaa Hapana yeye mwenye k mkononiii ndio maana namteteaa Kajalaa,angalia na Kwa Wemaa ,wema angekua katulia tungesema kaonewaa kumbukaaa ukiiba lazimaa uibiweeeee

hapo hakuna msimamo mana hata Wema alikuwa anatoka na mume wa mtu Kajala akamate fursa maisha yenyewe hayaeleweki ingekuwa wameoana sawa ila hapakuwa na ndoa hafu Ck alishaachana naye Wema abakie kwa domo wake bahili mwiz naye huibiwa
 
Mimi namkubali sana Kajala(kwa uzuri)

Ila huo umalaya anaofanya ndo tatizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…