Kajala na Clement Mambo Hadharani

Kajala na Clement Mambo Hadharani

Asingekua Clement sasa hiv asingepita juanii ng'ooooooo mbona ye Clement hajataka amgeuze zombieeee Kajala gooooooooooi live ur life mamaaaa acha watesekee domo nae dudu mkononi akipenda muonjeshe maana habagui ladhaaaa hureeeeeeeeeeeeeeeweew ukipenda mwanaume wa peke yako mzae mwenyewee
Kasoro wanguu tuuu ndio hatimiliki nnayoooo hahhhhaaaa

Nipo mamii,naona unanizungushia ukuta wasikuibie.....jitahidi wachakachuaji wengi wanakaba hadi penalty!
 
Ndio urafiki wa mjinii huoo rafiki anaweza kukuibiaa hara mume wa ndoaa na ndoa ikavunjika mume akakuhama kabisaaa Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Yote yanawezekana make habari zote source ni udaku...

Kuhusu suala la wema kung'ang'ania gari la kaka clement wakat yupo na diamond sio udaku ni ukweli kabisa.

Huyo diamond kama alimpa marehemu gurumo(rest in peace) zawadi ya fun cargo kwanini asimnunulie wema ata brevis ya mil 11 ?? , ivi diamond anajisikiaje kuona manzi wake akiendesha gari la hawara mwingine , labda kama hana mpango na wema na yupo ki nyota zaidi
 
Kweli hii bongo movie madirector wapo lakini watoe movie?
 
Sidhani kama kuna mwanamke kutoka bongo movie mwenye ubavu wa kuchomoa kwa yule clement labda akina rihhana uko majuu, coz yeye ndo aliyemfanya wema aonekane mtu kwa kias flan maana kuna kipindi wema alikuwa haelewek anaish wapi ,japokuwa kwao ni Sinza ,kuna kipindi wema alipigika aiseeh had umaaruf ukafifia Jacky ndo akawa habar ya mujini, had nakumbuka wolper alimchambaga wema kuwa aende kwake akamchezeshe filamu akanunue godor na yeye wema aonekane anapoishi , hiyo kauli ilimliza sana wema hadi mama yake akaingilia kati na kumchamba wolper kwenye TV , ndipo tokea apo baada ya muda mfupi wema akawa ana mkwanj ghafla ndo kwa Mara ya kwanza wema akaanza kuonekana anapoish.

Maisha mazuri kujumuisha na kuendesha magari ya thamani wema aliyapata kwa ck , Jamaa alimsafisha wema jina lake likazid kung'aa hadi akadanganya watu kuwa ile nyumba ya kwake , safar za ulaya zikawa aziishi source wa yote clement.

Clement nasikia alisikia tetesi kuwa diamond analalaga kwake (kwenye nyumba aliyompangishia wema) , ikaenda had badae alipokuja kugundua hiyo ishu ni kweli fasta bibie akaachwa tena marafik zake ndo waliomchongea. Bibie akapokonywa kila kitu.

hapo mwisho umejichanganya nenda ukahakiki vyanzo vyako. Ukweli wema ndo alimuacha CK baada ya diamond kumpa condition hyo na kimtangaza kwenye party ya watoto ya xmass au mwaka mpya kama sikosei. Uzuri ni kwamba yeam wema tuko full kwa data. So ukipndisha tinajua umepindisha.
 
Watu wambeyaaaaaaa

Khaaaaa

Halafu full umbea wa insta

Muwe na jioni njema
 
hapo mwisho umejichanganya nenda ukahakiki vyanzo vyako. Ukweli wema ndo alimuacha CK baada ya diamond kumpa condition hyo na kimtangaza kwenye party ya watoto ya xmass au mwaka mpya kama sikosei. Uzuri ni kwamba yeam wema tuko full kwa data. So ukipndisha tinajua umepindisha.

Uliza chanzo cha yule director wa wema chidy classic kufukuzwa kazi , unadhan ni kwa sababu ya kutumia magar ya madame kama guest house kama walivyodai? , hiko chanzo chako nilikisikiag binamu long time ,Mimi izi ndo kaz zangu binamu...

Nenda kaombe u best na chid classic atakumwagia umbea wote wa madamme najua martin nae anajua ila hawez kukwambia.
 
Me yangu ndo hayo na ndio ukweli. Umbea nao kipaji yabidi uwe na uhakika na unachokisema hapa.
Likija swala linalomhusu wema warumi huwezi kuwa fair hata siku moja and thats it, hata Matola analijua hili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom