Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Me Mpaka Nione Picha Ndiyo Nitaamini Tena Iwe Verified Authenticity Yake.....
Na picha hutaziona we acha kuaminiii
Subiri mpaka Yesu arudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me Mpaka Nione Picha Ndiyo Nitaamini Tena Iwe Verified Authenticity Yake.....
Asingekua Clement sasa hiv asingepita juanii ng'ooooooo mbona ye Clement hajataka amgeuze zombieeee Kajala gooooooooooi live ur life mamaaaa acha watesekee domo nae dudu mkononi akipenda muonjeshe maana habagui ladhaaaa hureeeeeeeeeeeeeeeweew ukipenda mwanaume wa peke yako mzae mwenyewee
Kasoro wanguu tuuu ndio hatimiliki nnayoooo hahhhhaaaa
Nipo mamii,naona unanizungushia ukuta wasikuibie.....jitahidi wachakachuaji wengi wanakaba hadi penalty!
Mwambien wema arudishe gari la pink la kaka Clement , kwan diamond si amnunulie??
Yote yanawezekana make habari zote source ni udaku...Clement bado ni mume wa mtu , labda kama kuna mtu alithibitisha kuwa walipeana talaka.
Ndio urafiki wa mjinii huoo rafiki anaweza kukuibiaa hara mume wa ndoaa na ndoa ikavunjika mume akakuhama kabisaaa Evelyn Salt
Yote yanawezekana make habari zote source ni udaku...
Ndio urafiki wa mjinii huoo rafiki anaweza kukuibiaa hara mume wa ndoaa na ndoa ikavunjika mume akakuhama kabisaaa Evelyn Salt
Mie mwenyewe mwanaume akijileta kwangu namchuna tu
Wema msagaji mkongwe,walikua wanasagana na huyo kajala
Yale mawigi ndio anayarudiaa kuyatengenezaaa kichwanii etiii
Ndo maana huwa sipendi kuendekeza ushost mbele ya mwanaume wangu mie....
mashost wakae mbali kabisa habari za ushemeji sizitaki
Sidhani kama kuna mwanamke kutoka bongo movie mwenye ubavu wa kuchomoa kwa yule clement labda akina rihhana uko majuu, coz yeye ndo aliyemfanya wema aonekane mtu kwa kias flan maana kuna kipindi wema alikuwa haelewek anaish wapi ,japokuwa kwao ni Sinza ,kuna kipindi wema alipigika aiseeh had umaaruf ukafifia Jacky ndo akawa habar ya mujini, had nakumbuka wolper alimchambaga wema kuwa aende kwake akamchezeshe filamu akanunue godor na yeye wema aonekane anapoishi , hiyo kauli ilimliza sana wema hadi mama yake akaingilia kati na kumchamba wolper kwenye TV , ndipo tokea apo baada ya muda mfupi wema akawa ana mkwanj ghafla ndo kwa Mara ya kwanza wema akaanza kuonekana anapoish.
Maisha mazuri kujumuisha na kuendesha magari ya thamani wema aliyapata kwa ck , Jamaa alimsafisha wema jina lake likazid kung'aa hadi akadanganya watu kuwa ile nyumba ya kwake , safar za ulaya zikawa aziishi source wa yote clement.
Clement nasikia alisikia tetesi kuwa diamond analalaga kwake (kwenye nyumba aliyompangishia wema) , ikaenda had badae alipokuja kugundua hiyo ishu ni kweli fasta bibie akaachwa tena marafik zake ndo waliomchongea. Bibie akapokonywa kila kitu.
hapo mwisho umejichanganya nenda ukahakiki vyanzo vyako. Ukweli wema ndo alimuacha CK baada ya diamond kumpa condition hyo na kimtangaza kwenye party ya watoto ya xmass au mwaka mpya kama sikosei. Uzuri ni kwamba yeam wema tuko full kwa data. So ukipndisha tinajua umepindisha.
Me yangu ndo hayo na ndio ukweli. Umbea nao kipaji yabidi uwe na uhakika na unachokisema hapa.Uliza chanzo cha yule director wa wema chidy classic kufukuzwa kazi , unadhan ni kwa sababu ya kutumia magar ya madame kama guest house kama walivyodai? , hiko chanzo chako nilikisikiag binamu long time ,Mimi izi ndo kaz zangu binamu...
Nenda kaombe u best na chid classic atakumwagia umbea wote wa madamme najua martin nae anajua ila hawez kukwambia.