Kajala na Clement Mambo Hadharani

Tatizo ni kuwa ukute huyo clement halali anawaza atamrudishaje Wema himayani.......Sasa Kesho K akibwagwa,sipati picha TeamWema..........Pia Kuchukua Mwanaume Wa Shoga Yako Ni Mbaya...Haina Justification.....Hata kama yeye aiiba,yeye bado ni shemeji yake maana amemjua kama mtu wa shosty wake....Halafu hata huyo uliyemchukulia awe na mapungufu gani,Utaonekana Kidampa tu...The Rebound Girl...Halafu kuna muda hawa madada wawe wanatumia vichwa vyao na sio vya wapambe nuksi....
 
Umenichekesha sana warumi, ukute anamsifia akiwa na upara anapendeza kumbe moyoni anamshukuru shetani garama za mawigi zimempitia mbalii

Maana mtu mwenyewe wema anapenda maisha mazuri ambayo diamond hana , maana kipindi mama ubaya yupo na Clement alikuwa wema bwana , mpunga alikuwa nao wa maana , sasa amebak na nyota yake tu kila kitu kimerud kwa clement kasoro gari letu la pink ambalo kaka clement amnunulie , akisharudisha tu bas wema atakuwa sio shemej yetu rasmi ila sasa kaka Clement ataendelea kula mzigo
 
Last edited by a moderator:

Mbona Penny na Wema walikuwa mabest sana kabla kajala ajatoka Segerea... Mbona alipompora Diamond hawakumsema kuwa kamwibia bwana shoga ake.
 

point ipo hapo hapo hata kama wema alikuwa ni mchepuko
huyo clement ni mchepuko wa rafiki ake na itabaki hivo daima na milele
haipendezi kutembea nae, afu nilisoma mahali kuwa clement aliishaachana na mkewe
mke alichoka na tabia za mme wake
 
Ni kweliii usemayoo lakini kwa hili la Wemaa Hapana yeye mwenye k mkononiii ndio maana namteteaa Kajalaa,angalia na Kwa Wemaa ,wema angekua katulia tungesema kaonewaa kumbukaaa ukiiba lazimaa uibiweeeee

Fine ila mi kwangu haita kaa iwe sawa hiyo
hata kama wema kaiba kajala ni rafiki asee haina maana kutembea na huyo mwanaume
eti kisa tu wema nae ni mwizi mi hapana kwakwel
 
Clement na mkewe walishaachana na huyo mke kazaa na mkaka wa kiarabu, mke naye mcharuko fulani town.
Wema msimuone vile anaumia sana kuhusu CK alizoea kutapanya hela hovyo, akiingia salon sihitaji hapa, zinaenda kununuliwa Moet za bila idadi basi tu watu wanywe pale hela za CK zipo.

Now hela zile za kuchezea kwa Dai hakuna, show off za kipindi kile hazifanyiki, alishazoea hayo kwa hela ya mwanaume.
Kajala yeye ale yakimkuta ya Penny awe kafanya ya maana, siyo kwenda China kuspend itakula kwake. Hakuna mwanaume anayeibwa wote wizi.
 
point ipo hapo hapo hata kama wema alikuwa ni mchepuko
huyo clement ni mchepuko wa rafiki ake na itabaki hivo daima na milele
haipendezi kutembea nae, afu nilisoma mahali kuwa clement aliishaachana na mkewe
mke alichoka na tabia za mme wake

Point.....Point Dear Evelyn....
 
Mbona Penny na Wema walikuwa mabest sana kabla kajala ajatoka Segerea... Mbona alipompora Diamond hawakumsema kuwa kamwibia bwana shoga ake.

Nadhani Hilo Ni Swala La Nyakati.....Now Kuna MaTeam Niiniz....
 
point ipo hapo hapo hata kama wema alikuwa ni mchepuko
huyo clement ni mchepuko wa rafiki ake na itabaki hivo daima na milele
haipendezi kutembea nae, afu nilisoma mahali kuwa clement aliishaachana na mkewe
mke alichoka na tabia za mme wake

Clement bado ni mume wa mtu , labda kama kuna mtu alithibitisha kuwa walipeana talaka.
 

Yah wema alizima aumie kashazoea kuchezea mi dolali ya kaka clement maana toka awe na ndomo mikwala ya kukod ndege mpaka arusha imeisha , amshukur sana clement kumbadil ngoz uko china , maana ata ndomo asingerud , sisi tunatak tu gari letu la pink , kama ndomo hawez kumnunulia watumie wote hlo Prado la chibu , arudishe kwa kweli
 
Kwani utamu clement hakumpa?? Basi na yeye amrudishie mautamu yake , wote wamepeana mautamu . Hvo vitu alivyomnunulia ni naksh tu ya mapenz , kama kaamua kurud kwa ndomo kweli arudishe gari amwambie diamond amnunulie lake jipyaaa

Nadhani amewasikia na atafanya hivyo sooon.....da nimecheka sana kumbe inaitwa 'kipwapwiso'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…