Kajala na Clement Mambo Hadharani

Kajala na Clement Mambo Hadharani

kweli waafaziraka wapundaka, na ukitaka kufadhili bora umfadhili mbuzi,maana binadamu hatakuudhi....
 
ndo mana waambiwa tenda wema ucngoje shukurani Mungu ndo hulipia toa kama msaada then sepa ukitaka mtu akushukuru binadamu tunasahau
 
Kabisaaa , yeye wema asihuzunike fungu analo kwa mungu , sasa na yeye kajala ahakikishe kaka clement nyumba anamjengea , yasije yakamshinda kama wema.

Kajala asisikilize watu aendelee kukamua , wengine wanatoa mapovu roho zinawauma kapata bonge la bwana aka kaka clement , maana siku izi kajala safar za dubai na china kama anaenda location vile .
 
Ck ni ajira.....sasa kajala kapata kazi aiache???wote hao ma bongo movies wanaishi kwa mtindo huo huo.Huyo wema atulie tu na huyo mtoto wa tandale.
 
Apo chacha atulie na mtoto wa kwa mtogole amuache kajal ajilie vyake , au ndo Yale ya banian mbaya kiatu chake dawa?.
 
Ck ni ajira.....sasa kajala kapata kazi aiache???wote hao ma bongo movies wanaishi kwa mtindo huo huo.Huyo wema atulie tu na huyo mtoto wa tandale.

Umeonaa sijui wanataka Kajala ale nyasiii
 
Kabisaaa , yeye wema asihuzunike fungu analo kwa mungu , sasa na yeye kajala ahakikishe kaka clement nyumba anamjengea , yasije yakamshinda kama wema.

Kajala asisikilize watu aendelee kukamua , wengine wanatoa mapovu roho zinawauma kapata bonge la bwana aka kaka clement , maana siku izi kajala safar za dubai na china kama anaenda location vile .

Mi nataka afanye kweliii amzaliee kabisaaaaa najua litaporomoshwaa bonge la houseee wachaaa weeee Kajala tumia fursaa uzee unakuja utasimulia nini wajukuu zakooo banaaaaa
 
Huyu kajala sindio alilipiwa Na wema faini ya milioni kumi na mumewe alifungwa sababu ya nyoso. Sasa kaamua kumsaliti mumewe kikweli. Kweli wanawake mashetwani hawana hata huruma tamaa tu imewazidi

Nitasema kweli daima
 
Mtu mwenyew kibajaji halafu unataka kupita njia kuu? Njia kuu aiachie mifuso , kuchepuka ndo habar ya mujini , kasalitiwa yesu sembuse wema ???
 
Shangaa binamu na yesu alisalitiwa kwa zile sarafu leo midoraliiiii weeeeee
 
Mtu mwenyew kibajaji halafu unataka kupita njia kuu? Njia kuu aiachie mifuso , kuchepuka ndo habar ya mujini , kasalitiwa yesu sembuse wema ???

Michepuko yenyewe lazima uchague barabara,ukichepukia ya vumbi imekula kwako mambo yote mchepuko wa lami ndo mambo yote....ndo mana Ck anafaidi kiulanii c wanamfata wenyewe bana!
 
Shangaaa we kiaZ nikisema mi muhogo eti nna miziziiii loklll

Kwanza tuongee ukweli , dunia ya sasa iv asiyetaka hela Nani?? , watu wanamuonea wivu kajala , maana sasa ivi anamilik magar mawili , Toyota Lexus kama ile ya kaka Clement aliyomuachia wema la pink na Toyota brevis , chezea kajala wewe
 
Wacha weeeee sasa hapo mama ubayaa alitaka awe anampa lift daily, na nyumba anaishi wapii
 
kajala ana pesa asikwambie mtu , maana sasa ivi na yeye anamilik kampuni yake , wema mwenyew alikuwa anasaidiwa na kajala mambo madogo madogo we unadhan wema alikuwa hajui kama kajala anatoka na clement?? Mashabik maandaz wa wema ndo wa mwisho kujua , na hela za clement walikuwa wanakula bata wote , sema kajala alianza kumdharau wema kwa kuwa alikuwa maimuna hana mbele wala nyuma yaan ndomo nuksi binamu?? ,
 
Back
Top Bottom