warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Sikupatii picha kajala jinsi unavyozimia uko ulipo , maana hii ni aibu kubwa sana imekupata. Binafsi nilivyoangalia kwenye kipindi cha Zamaradi jinsi unavyojitetea na kukana hadharani kutomjua kabisa Clement , na ukalia kwa uchungu sana jinsi unavyotukanwa na team Wema uko instagram kwa kitendo ambacho ujakifanya kama ulivyodai, watu wengi walikuhurumia , kumbe wewe ni fisi uliyejivika ngozi ya kondoo.
Hii ni aibu sana especially kwa familia yako na mtoto wako Paula ambaye alikuwa akiumizwa na matusi uliyokuwa ukitukanwa, ni vizuri ukajipanga upya , kwa sababu watu wameshajua ukweli kuhusu bifu lako na wema, nadhani ule msemo usemwao lisemwalo lipo kama halipo laja leo limetimia kwako
maisha ni kuishi na kujifunza. Kajala umemkosea sana Wema pamoja na mashabiki ni vyema kama ungeomba msamaha kwa Wema pamoja na watanzania especially mashabiki wako.
TEAM WEMA
Hongereni sana kwa kazi nzuri mliyoifanya , maana ni mda mrefu hizi tetesi zilizagaa hakuna aliyejua ukweli wa bifu la kajala na wema , hongereni sana kwa kufichua uovu . Tumeshajua kajala ni mkosefu
Pili , Hakuna asiyejua kama Clement ni mume wa mtu , kwa nini huyo Clement mnapenda kumhalalisha kuwa ni mtu wa Wema wakati wote tunajua Wema alikuwa mchepuko kama Kajala? Clement si ana mke na familia?
Tatu , Wema mwenyewe alishakiri kuwa anampenda Diamond na Cement alishaachana nae ndo maana mpaka sasa hivi yupo na diamond , sasa nyie hamueleweki kwa Clement mpo kwa Diamond mpo. Clement anawahusu nini nyie? Nyie si mnapenda Wema awe na Diamond? Sasa nini tatizo?
Nne , Clement hakuwahi kumuoa Wema kwa ndoa yeyote , Wema alikuwa hawara tu kama ilivyokuwa kwa Kajala na Najma , so kati ya hao wote watatu hakuna mwenye haki na Clement , nadhani mke wake atakuwa anawashangaa sana mnavyoshabikia mume wake kuwa ni wa Wema.
Tano , muacheni baba wa watu aendelee kula vipwapwiso wenyewe si wana tamaa bwana na maisha mazuri ? Bongo movie nzima kuna mauchafu yamejaa bahati mbaya tu ya Kajala yamefichuka.
Sidhani kama mna haki ya kumhukumu kiasi hicho Kajala kutembea na Clement, kwani yule hakuwa mume wa Wema , japokuwa aliwahi kuwa na mahusiano nae japokuwa Kajala kafanya vibaya.