missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Haha nimemaliza kitambo sana boss[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko chuo gani my dear.!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha nimemaliza kitambo sana boss[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko chuo gani my dear.!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wana dramah hawa lolEtiiiii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na bado binti nae kamkosa kosa au ukute kapita na wote mama na mtotoKamalizia kutatua malinda ya bibi then kasepa duh konde bwaay noma sana , na hawa wanawake njaa zimewazidi mtu anaolewaga tuuuuu kila siku yeye , kwakweli mwanamke kama hana akili zinazoumia ni sehemu zileeee nimeamini
Hivi hii si ndio ile kapo ilisifiwa hatukulala leo tena mnasema kapo gani lolWaachane tu nao, kapo gani sasa ile nayo....
Na haiwezekani idumu at the sametine ukiki...lazima usacrifice kimoja wapoKila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho
Ndoa za mastaa ni chache sana zinazodumu
Anaitwa Marlow..Na haiwezekani idumu at the sametine ukiki...lazima usacrifice kimoja wapo
Mfano yule jamaa aliimba bembeleza, kaimba rita hata jina simkumbuki...ndoa yake imedumu lakini kapotea kwenye ulimwengu wa mziki
Hawa wanawake wapo kimaslahi sana atakuwa amempenda ili apate mtaji kiasi flani vinginevyo hakuna. sasa huenda ameona kitita hakipo wala ramani haisomeki ya kuchomoa kitita hicho akaona asepe tu.Moja kati ya taarifa inayo-trend kwa sasa mitandaoni ni kuhusu msanii wa filamu Kajala Masanja na msanii wa muziki Harmonize ambao inasemekana penzi lao limefika mwisho kutokana na baadhi ya viashiria vya mazingira vilivyojitokeza.
![]()
Taarifa hiyo imekuja baada ya Kajala Masanja kufuta picha zote alizowahi ku-post akiwa na Harmonize kwenye mtandao wa Instagram kisha kumu-unfollow kwenye mtandao na kuandika ujumbe wa Kiingereza uliotafsirika kama
“Usimuumize mtu kwa ajili ya sababu zako binafsi”
Mahusiano ya Harmonize na Kajala yalikuja kwa kasi na yalivutia watu wengi hadi kufikia hatua ya kuchorana tattoo japo baadhi ya watu wengine walikuwa wanalipinga penzi lao mitandaoni.
Ndio mimi sijawahi kuielewa huwa nawaona kama mtu na shangazi yakeHivi hii si ndio ile kapo ilisifiwa hatukulala leo tena mnasema kapo gani lol
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mimi sijawahi kuielewa huwa nawaona kama mtu na shangazi yake
Anadate na mwanaume age mate wa mwanae!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Kajala anahitaji mwanaume matured na anayejitambua na asiyetaka kuwepo kwenye spotlight...unless kama na yeye awe na mission zake za kukamilisha
Konde bado yupo kwenye umri wa pilikapilika, bado yupo mwanzoni mwa graph ya fame hata kucope bado so ni vigumu kusettle kwa sasa
Mwanamke yeyote ambae atachagua kuwa naye ni kwa maslahi yake kwanza, lazima atamtumia kama ngazi ya kupandia kimziki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamalizia kutatua malinda ya bibi then kasepa duh konde bwaay noma sana , na hawa wanawake njaa zimewazidi mtu anaolewaga tuuuuu kila siku yeye , kwakweli mwanamke kama hana akili zinazoumia ni sehemu zileeee nimeamini