Kajala na mwanae waja na Reality Tv show yao


[emoji1531][emoji1531][emoji1531][emoji1531][emoji1531][emoji1531]
 
Kama kweli director wa ile jua kali ndo anadirect itakuwa vizur ...lamatah anajua sana
 
Mzee baba upo vizuri hadi huku.
 
Hao finyango uliowataja wote hakuna kitu ni udangaji na kutuonesha wanavyopika pika basi. Na kukatika katika hovyo.

Bora nikaangalie X kuliko hao ngedere
 
Sijaona tatizo iwapo wataanzisha.
Na kigezo sanasana ninachokiona ili mtu uanzishe hii kitu ni umaarufu.Na kwa bongo wahusika wanacho tayari.
Mtoa mada hutaki hata kuwasikia ila kuna watu wanakitamani sana hicho kipindi kwa sababu mbalimbali.Labda mwingine angependa awafahamu mama na mwana kiundani,mwingine labda kupitia wao anataka afahamu maisha ya mastaa wa bongo AU mwingine anataka aangalie hicho kipindi chao kitakuja na vitu gani n.k.
Hivyo binafsi sioni tatizo lolote.
Kianzishwe hata kesho!
 
Reactions: Qwy
Naona wameamua sasa kutengeneza show yao ili wapande bei, hii couple nitakuja kuiomba manage a trois. Ngoja tu
 
Ila maisha haya daahh!Leo Paula kawa staa ndani ya DKK!!!haya kila la heri ingawa Reality show kibongobongo bado sana
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa DKK amekuwa staa hahaha kama unaamini huamini vile.umeongea kwa hisia [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…