Kajala na mwanae waja na Reality Tv show yao


I work in Tv industry, bongo hakuna staa mwenye hadhi ya kufanya reality show binamu, trust me
 

Utopolo mtupu, waende South Africa waone reality show zilivyo
 
I work in Tv industry, bongo hakuna staa mwenye hadhi ya kufanya reality show binamu, trust me


Reality show 99% kama sio zote unazoziona unyamwezini ni scripted. Unachotakiwa kufanya au kusema ni vile waandaaji wanataka hata kama ni aibu, basi unapiga pesa. Kajala ni muigizaji, akipata director na timu nzuri ya production kibongobongo lazima auze. Anaweza kujaribu episodes kama 6 tu kusikilizia soko. Tunachotakiwa wabongo, tuache kukatishana tamaa
 
Sema ww binamu , kwa nyota gan aliykua nayo? Kwa pesa ipi?
YAni naongea sio kwa ubaya niliwahi kumwona kajala live alimsindikiza wema mahali kwenye biashara fulani, kajala niliyemwona pale ni "low iq", Tena nilishangaa amekuwaje celebrity wa bongo. Tizama hata zile Biko shows alizokua anahost ama zile video walizokua wanazirusha na kondeboy kwa makini... Kajala hawaeziiii, hawezi. Reality show ilimshinda jide commando na wema seenga kajala ataiwezea wapi???? Zari, Akothee wa kenya, lile limalaya flan la kenya lenye matako, diamond at least wangeweza lkn Sio huyo kajala.
 
Wakajifunze kilichowatokea wema na jide

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tv gani itaonyesha hiki kipindi


Reality show bora kwangu ilikua ya jide na chid benz tu
 
Kajala reality show hawezi kwanza anakaa kazubaa fulani hivi. Reality show inataka drama queen type ya kina gigy, fanya vituko, drama nyingi upate watazamaji.

Kina wema, Jide, Irene Uwoya walishindwa coz zao zilikuwa too boring unaangalia kitu hakina drama hata moja. Katoka chumbani kaingia seblen Yuko kwenye gari karudi nyumbani. [emoji849][emoji849][emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…