Kajala nae aamua kukaa uchi akiwa fiestani - Tanga

Kajala nae aamua kukaa uchi akiwa fiestani - Tanga

Tatizo wanashindan na teenagers.Mama w mtoto over 10yrs kibongo bongo lazima ubihave kidogo atiiii.
 
Dah nimekuja mbio mbio kuona uchi wa selebliti afu nimeambulia patupu...
 
Biashara matangazo na alipofanyia tangazo ni sehemu sahihi kabisa maana mkusanyiko wa wakware ulikuwa mkubwa hope hakutoka kapa
 
Jamani tumboo anataka kumharishia mtu puani hukuuuu.....Chondechonde bi Tumboo usije ukamfanya mwenzio apaliwe

STRESS: Hili jina la tumboo ukilifanyia mnyambuliko/mnyumbuliko unaweza kubaini ni Tusi ati!!!!!!!

Wataalamu wa Lugha hebu fanyeni yenu hapa!!!

Ngoja ajeee siku hizi mkalii huyooooo tumboo njoooo unifunfishie mtu hapa
 
Last edited by a moderator:
Jamani tumboo anataka kumharishia mtu puani hukuuuu.....Chondechonde bi Tumboo usije ukamfanya mwenzio apaliwe

STRESS: Hili jina la tumboo ukilifanyia mnyambuliko/mnyumbuliko unaweza kubaini ni Tusi ati!!!!!!!

Wataalamu wa Lugha hebu fanyeni yenu hapa!!!

Heeeeeeee makubwa ayaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom