Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

Alipe na alivyotembea na ck, urafiki gani huo ulishindwa hata kukumbuka fadhila ukatoka na shemejio? Tabia chafu kabisa
 
"Sifa za kijingaaa"..
Abel loshilaa motika alias mr.Abel..RIP
 
Kama uwezo anao si alipe maana wema yupo juu ya mawe kwa sasa,Rumishael ndio aliyetoa hizo fedha na si wema.........
 
Hizo 13M zilikuwa za Mama Ubaya au naye alimuomba CK?
 
Time value of money, a shilling today is worth than a shilling tommorow
 
ImageUploadedByJamiiForums1428833924.123605.jpg
 
Lkn malalamiko yamekua mengi kila upande cri ya kata aijuae mtungi chakula kilikua chako ukakiacha sasa kuna ubaya gani kula ambacho pia umekilipia ana haki ya kuchukua nafac uliyoachwa sababu 13m
 
Hakuna fadhila huwezi kusema fadhila kwa kutumia jina la mtu fadhila nikutoa kilicho chako
 
Ni bora tu ulipe hizo pesa maana tumechoshwa na kelele zenu,huna fadhila wala hisani hukumbuki,wema ashakua na marafiki kibao ila kwa kajala anakiri kua ndio rafiki mbaya kupata kuwa naye
 
Mimi naona uwezo wa kajala kulipa hiyo hela sasa sio kitu. Bali kikubwa zaidi kumbuka ulipokuwa na shida ya hiyo hela ulivyosaidika hapo ndo twaona umuhimu wa wema kwako. Hata ukimrudishia hela yake sasa the fact ni kwamba alikusaidia tu na hakukukopesha. Mbona hakuna aliyejitokeza kukukopesha umlipe pindi mambo yakiwa shwari?? Kubali alikusaidia, akikusema yakubali tu ndo maisha.
 
Tatizo tunashindwa kuelewa kuwa thamani ya pesa inaweza kulipika ikiwa mtu atakucmanga au kukunyanyasa sababu mizani ya pesa ipo na inapimika.. Kisicho lipika ni nguvu ya mtu sababu hakuna mizani ya kulipia nguvu ya mtu
 
Hata hawara zake wote hakuna ambaye alikuwa na moyo wa kumlipia pesa za kumtoa jela!million 13 mchezo?ye angeweza kajala yule alivyokuwa mnafiki??yaani asitegemee kama likimkuta watu watamsaidia tena kipesa
 
Back
Top Bottom