Kajala: Natamani kupatana na Wema

Kajala: Natamani kupatana na Wema

Hivi kwanini jide hanaga marafikii!!kama mama ubayaa,napenda life style ya jide
 
Mmh ila kajala anayaweza kujipendekeza gani uko, yan wanamuona mama ubaya kama mungu wao, watutolee nuksi apa

Huyo ndo wema bana nyota inayong'aa hadi mchana!!!lazma jua lione wivu
 
Ameishiwa kodi au? Ndio mana akili imerejea, anamtaka tena wema, vyovyote itakavyo kua Kajala mshenzi wa fadhila....
 
Back
Top Bottom