BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
We Zavi acha masihara lile ghorofa hajalipia mwaka mzima kweli?
Hivi kwanini jide hanaga marafikii!!kama mama ubayaa,napenda life style ya jide
Mmh ila kajala anayaweza kujipendekeza gani uko, yan wanamuona mama ubaya kama mungu wao, watutolee nuksi apa
Hebu tuambie shost ili tuanze kuongea tofauti
Hivi kwanini jide hanaga marafikii!!kama mama ubayaa,napenda life style ya jide
Wanataka three some hao