Kajala: Natamani kuzaa tena

Kajala: Natamani kuzaa tena

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha .

Akipiga stori na mwandishi wetu, Kajala alisema anasaka mimba kwa namna yoyote ili mwanaye Paula apate mdogo wake hivyo suala hilo lipo katika mchakato yakinifu na mpenzi wake wa sasa ambaye hakupenda kumwanika jina lake .

"Natamani kuongeza mtoto wa pili , Paula ameshakua mkubwa lazima tumtafutie mdogo wake mambo ndiyo yatakuwa mazuri zaidi , " alisema Kajala .Mtoto huyo wa awali , Kajala alizaa na prodyuza Paul Matthysse ' P Funk' ambaye walishamwagana .
 
kunguru hafugiki...!!!
jasiri haachi asili...!!
 
ubarinolutu

Mhhh wewe jamaa inaonekana unajua mengi sana
 
Last edited by a moderator:
Hivi ameshaigiza muvi gani uyu kajala? ndo nani hasa? profile yake tafadhali
 
Hivi ameshaigiza muvi gani uyu kajala? ndo nani hasa? profile yake tafadhali

kacheza movie kama nne za holywood ya mwisho alifanya na Idris Elba pamoja na Terrence Howard ..she is a very good actress kwa kweli.
 
hivi gerezani ukienda kumsalimia MTU wako mnaachwa kwa rum kidogo??if no naamini wanawake hatuna huruma kwakweli.
 
Eti tumtafutie mdogo wake,anamuinclude nani kwenye hiyo line yake of thinking huyu#bongolala muvi supastaa kunuka
 
Back
Top Bottom