Kajala: Nipo tayari kugharamia harusi ya Wolper na Manaiki

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Kajala Masanja (katikati) akiwa na Jacqueline Wolper (kushoto).


Na Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata/Uwazi

MWANADADA anayefanya vizuri kunako soko la filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay' ameweka wazi kuwa yuko tayari kugharamia sherehe ya harusi ya Manaiki Sanga na Jacqueline Wolper Massawe kama mambo yataenda sawa.

Akipiga stori na Uwazi, Kajala alisema kutokana na ukaribu alionao kwa watu hao basi mambo yote yanayohusiana na sherehe yatakuwa chini yake kwa maana ya gharama zote na kikubwa ni kuwaombea tu maana ni muda mrefu sana Manaiki alikuwa na ndoto za kumuoa Wolper.
 
wolper anapenda sana kuolewa ndo maana kaona bora kukosa kabisa bora apate ht iliyooza
dah pole sana wolper
 
Wolper amesurrender maisha ya kumix grinder na mtwangio?super!Ila anajibleach kawa white kuliko Madonna...good!Manaiki sio yule alopiga zaidi ya picha mia za uchi na mabebes?Good couple!
 
wolper anapenda sana kuolewa ndo maana kaona bora kukosa kabisa bora apate ht iliyooza
dah pole sana wolper

mmh umetumia maneno makali kidogo.........kumbuka tu wewe ukisema cha nini wenzako wanawaza watakipata lini.....
 
mmh umetumia maneno makali kidogo.........kumbuka tu wewe ukisema cha nini wenzako wanawaza watakipata lini.....

kwa nature ya manaiki labda km katulia sasa hv
wolper kashabadili dini kufata ndoa
 
Hivi ukiongozana na gangwe (wazee utatujua tu..) lazima nawe uwe gangwe eeh....
 
panapokosekana bunduki rungu hufaa na kosakosa ya nyahua malongwe atakuwa kaamua uzuri.
 
Agaramikie maisha yake kwanza mfyuuuu
 
kwa nature ya manaiki labda km katulia sasa hv
wolper kashabadili dini kufata ndoa

pamoja na hayo.....hilo neno la kusema bora apate hata iliyooza ndiyo nilipoona tatizo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…