Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Muigizaji na mfanyabiashara maarufu nchini, Kajala Masanja, amefunguka kuhusu hisia za hofu alizozipata pale binti yake, Paula, aliposhika ujauzito.
Katika mahojiano kupitia kipindi cha mtandaoni cha A list, yaliyowekwa hewani katikati ya Septemba 2026 , Kajala alieleza kuwa alipatwa na woga mkubwa kwani alihofia jinsi msanii Rayvanny (P) atakavyochukulia au kuchukua hatua, ikiwemo hofu ya kumpiga au hali hiyo kuleta mzozo mkubwa kulingana na mazingira yaliyokuwepo.
Hata hivyo, alibainisha jinsi alivyopambana na msongo huo na mwishowe jambo hilo lilivyotatuliwa na kufikia muafaka katika familia zao.