Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Na wewe upo busy kusoma hadi kucomment,Kutokana na mambo yanayoendelea nchini, ishu za kiuchumi duniani, hivi mmapata wapi muda wa kufatilia maisha ya watu namna hii? Yaani upo curious kujua sijui fulani kaongea nini mara sijui hiviiiii
Happy birthday š š„³ š š šNa wewe upo busy kusoma hadi kucomment,
Unafki mwingine hata haunogi.
Happy birthday!!Happy birthday š š„³ š š š
Thank you.... Happy Birthday to you tooHappy birthday š š„³ š š š
Ndio leo ni birthdays zetuHappy birthday!!
Hongereni sana! Keki wapišNdio leo ni birthdays zetu
Thank You Ng'wanike nipo Bungeni huku wiki hii šHongereni sana! Keki wapiš
Tunakuja kwako, ulisema Mwanza eehHongereni sana! Keki wapiš
Tena!!Thank You Ng'wanike nipo Bungeni huku wiki hii š
Dahh mbona nishatoka huko jamaniiš„²Tunakuja kwako, ulisema Mwanza eeh
Aaah umenikimbia bhanaDahh mbona nishatoka huko jamaniiš„²
Hapana dr ni muda sipo hukooAaah umenikimbia bhana
Kajala ana biashara gani mpaka aitwe "mfanyabiashara maarufu"? Nimeona pia eti Aunt Ezekiel na Mobetto nao wanaitwa "wafanyabiashara maarufu". Acheni utani na fani za watu, hao ni wabangaizaji tu.Muigizaji na mfanyabiashara maarufu nchini, Kajala Masanja, amefunguka kuhusu hisia za hofu alizozipata pale binti yake, Paula, aliposhika ujauzito.
Katika mahojiano kupitia kipindi cha mtandaoni cha A list, yaliyowekwa hewani katikati ya Septemba 2026 , Kajala alieleza kuwa alipatwa na woga mkubwa kwani alihofia jinsi msanii Rayvanny (P) atakavyochukulia au kuchukua hatua, ikiwemo hofu ya kumpiga au hali hiyo kuleta mzozo mkubwa kulingana na mazingira yaliyokuwepo.
Hata hivyo, alibainisha jinsi alivyopambana na msongo huo na mwishowe jambo hilo lilivyotatuliwa na kufikia muafaka katika familia zao.
View attachment 3671769