Kajala, Paula wahojiwa polisi wakidaiwa kusambaza picha za Harmonize

Kajala, Paula wahojiwa polisi wakidaiwa kusambaza picha za Harmonize

Baada ya taharuki ya wiki nzima hii kutokana na Paula kajala ambaye ni mtoto wa kuzaliwa wa Majani (Producer wa zamani maarufu sana Tanzania), alizaa na Kalala massanja mtoto aliyeitwa PAULA.

huyu mtoto inasemekana amekuwa aki-dangiwa na mama yake mazi yaani Kajala.

Leo wakitokea Dubai kwenye starehe zao na mabwana zao ambao ahawapo pichani walikamatwa uwanja wa Ndege na kupelekwa kuhojiwa Plisi kwa masaa 4 na baadae kuachiwa kwa dhamana.

Huyu mtoto Paula inasemekana amebi---kyi riwa na Harmoniser na toka hapo amekuwa akigawa kama pipi japo haijadhibitishwa na yeye mwenyewe lakini kwa laki 5 unapata usiku mmoja kwake.

yale makampuni ya CRDB na TIGO ambayo hawa ni brand ambassador yajitafakari tena.

Sasa huyu mtoto anamuaibisha baba yake ., jamii na kabila kwa ujumla wake.
a.jpeg
b.jpeg
 
Kajala ana miaka 36 paula 19 ina maana kajala alimzaa paula akiwa na miaka kama 18 hivi. Toa na miezi sita ya uchungu unapata 17
sasa kama mama mtu kaanza kufanya ufuska udogoni Why mtoto asiige?
 
Kajala ana miaka 36 paula 19 ina maana kajala alimzaa paula akiwa na miaka kama 18 hivi. Toa na miezi sita ya uchungu unapata 17
sasa kama mama mtu kaanza kufanya ufuska udogoni Why mtoto asiige?
Huyu vurugu alianza tokea akiwa shule ya msingi,wale wazee wenzangu enzi za Beach pareee watakuwa wanatambua hilo

Ova
 
By the way hakuna cha uzungu wala nini huyu mtoto angekuwa wangu ningemnyoosha tu mzazi haupaswi kumkatia Tamaa binti yako kuanzia kumsomesha Hadi kwenye tabia
Nashangaa mtoto anakushindaje ..either akubali masharti yangu au akane ukoo
 
Kweli kabisa but sio kila mwanamke aliyezaa ni mama.....
kwa akili ya kajala anaweza hata akakubali kupigwa 3some na mwanae kile kichwa sidhani kama kina akili sawa sawa
Kuna shida mahali...sio bure mkuu..mienhad leo hii na uzee huu nikimisbehave lazima niwashiwe moto hom..tena baba usipokaa poa anakurushia kofi kbs
 
Back
Top Bottom