Kajala, Paula wahojiwa polisi wakidaiwa kusambaza picha za Harmonize

"...kesi za aina hiyo huchukua muda mrefu kuzifanyia uchunguzi..."

Nime maliza kunukuu.
 
Mkuu kuwa mwangalifu watoto wa siku hizi ukiwapiga kufa ni dk 0 wa zamani unapiga hadi unamtundika kichwa chini miguu juu lakini bado liko hai tu
 
By the way hakuna cha uzungu wala nini huyu mtoto angekuwa wangu ningemnyoosha tu mzazi haupaswi kumkatia Tamaa binti yako kuanzia kumsomesha Hadi kwenye tabia
Mama mwenyewe ndo kamharibu sa anaanzia wapi kumnyoosha?
 
Mume wake yuko jela kwa money laundering

Miaka ka 8 iliyopita Kajala aliponea chupuchupu kwenda jela , baada ya Wema kumlipia faini ya Sh Mil 13

kwa kosa la kuuza Nyumba iliyowekwa kizuizini na takukuru.

Maji uwa hayasahau baridi alishindwa kujifunza kutokana na lile tukio ,mambo anayofanya na umri wake hayaendani naye.
 
Harmonize ni binadamu mbaya sana kuwai kutokea kwenye tasnia ya burudani nchini Tanzania.

Na ubaya wake ndio kaburi lake ni suala la wakati tu.
Hafai,
Katafuna kuku na yai lake uyu kijana.
 
Next ni Harmonize kupoteza mvuto kabisa wa kisanii na kuanza kutafuta mchawi. Game yake hii alivyoicheza haimuongezei kitu kwenye kazi yake bali anazidisha maadui na kufuta kila nguzo ya kumpa sapoti.
Harmonize analinda ugali wake, ni balozi wa makampuni makubwa akikaa kimya reputation yake itaharibika, wewe endelea kumsubiri apoteteze mvuto
 
Rafiki yangu mmoja bint yake alipofika form 5 shuleni wakaanza kupaka make up. Kila mtu ana make up kit na pencil kit kwenye begi la shule. Si mnajua yake mambo ya shuke form 5 mnajiona mmekua.

Wanafundishana kupaka contour na maskara. Sasa huyu shost alikua ana mdrop shule asubuhi na kum pick mchana. Siku hiyo anaenda kumpick anamkuta mdada ana lipsticj, maskara, eyeshadow. Alimwambia nenda ukanawe kabla hujaingia kwenye gari yangu.
 
Hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…