Kajala, Quick Racka ndani ya penzi zito

Kwahiyo Quick kijana mjanja kabisa huyu wa Mwanjelwa nae kaamua anza bemendwa kama Kiba.""?

Anywayz, atajijua.

umenishangaza kweli!!...Mwanjelwa wanatoka wajanja??..toka lini?
 

binamu mbna huyo makonda anapona kilaini tu istoshe nae waluwalu tu.....kifua kikianza wanaanza kutembeza bakuli la msaada manina zao
 
hatareee sana ngoja tusubirie waanza michango y kuuguzwa
Na wasanii wetu wengi huwa wakizishika wanajisahau jamani. Japo maisha yanabadilika but mtu ukikumbuka walivyokuwa wanazitumbua tu hela.. moyo unapata hadi ukakasi kuwasaidia
 
Na wasanii wetu wengi huwa wakizishika wanajisahau jamani. Japo maisha yanabadilika but mtu ukikumbuka walivyokuwa wanazitumbua tu hela.. moyo unapata hadi ukakasi kuwasaidia

acha wafu wazike wafu wenzao hao bongo ngono akili zao wote zinafanana hakuna mwenye nafuu
 
Nini cha hajabu? Kajala ni changudoa na yupo mjini kujiuza kama wenziwe wa bongo muvi, mwache achoshwe na kupigwa miti, ipo siku atakuwa.
 
kajala si ndo yale matapishi ya p.funk.kwahiyo quickracka ndo kaamua kuyalamba.kweli ulofa sometimes ni kipaji.

Kwahy matapishi ya P. Funk yanachefua sana kuliko unayolamba ww? Manake hata ulienae ww ni matapishi ya mwingine pia, sasa nakushangaa unavyotoa kauli hiyo
 
Hiyo sababu aliyotoa Quick racka duuh , ila huwa najiuliza kwa nini mwanzoni huwa wanaficha mahusiano yao? ila muda huwaumbua .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…