kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Kwahiyo Quick kijana mjanja kabisa huyu wa Mwanjelwa nae kaamua anza bemendwa kama Kiba.""?
Anywayz, atajijua.
umenishangaza kweli!!...Mwanjelwa wanatoka wajanja??..toka lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Quick kijana mjanja kabisa huyu wa Mwanjelwa nae kaamua anza bemendwa kama Kiba.""?
Anywayz, atajijua.
Khaa binamu magimbi ya wapi teh
Mbwa tu huyo, angekuwa mzuri asingehangaika usiku kucha kutangaza ndo apate mkate, wenzao uzuri wao wanautumia vzur hawafanyi kazi na bado wanaishi maisha mazuri kumshinda, ye sura imemkomaa kama magimbi ya kimbiji mchiuuu ataishia kutangaza mpaka anazeeeka mbwa huyo
Duuuh mbona hatarihaki y mama kifua kinamuanza muda c mrefu mana bongo movie vifuu ndio ugonjwa wao
Duuuh mbona hatari
Na wasanii wetu wengi huwa wakizishika wanajisahau jamani. Japo maisha yanabadilika but mtu ukikumbuka walivyokuwa wanazitumbua tu hela.. moyo unapata hadi ukakasi kuwasaidiahatareee sana ngoja tusubirie waanza michango y kuuguzwa
Na wasanii wetu wengi huwa wakizishika wanajisahau jamani. Japo maisha yanabadilika but mtu ukikumbuka walivyokuwa wanazitumbua tu hela.. moyo unapata hadi ukakasi kuwasaidia
kajala si ndo yale matapishi ya p.funk.kwahiyo quickracka ndo kaamua kuyalamba.kweli ulofa sometimes ni kipaji.