Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Ila p funk bado ana hela hela nowumalaya Jamaa alikuwaga Malaya ile mbaya "" alikuwa anawala mademu humo humo ndani ambapo anaishi na kajala....kajala aliwahi kumfumania akiwa na ray c ...jamaaa alipita kwa rayc ..na mademu wngine mastaa staa kibao ..halafu ile kibabe babe sasa "" cwajua tena alikuwa anajifnya gangster ...na wakati huo alikuwa top of town Pesa inaongea ...kikubwa alichokisahau tu nikuwa Pesa hazinaga mwnyewe
Mkuu ulishawahi sikia kitu kiitwacho GeneticsHivi huyu mtoto wa P Funk mbona hana 'shombo' hata kidogo ilhali Yeye ni half-caste?
vijisent tu bab ...hawezi kummudu tena yule demu "" ameshakuwa paka la jiji "" masponcer wote macho kwakwe ""Ila p funk bado ana hela hela now
Mkuu sijawahi kusikia, ila sijawahi kuona mbantu kazaa na mtu mweupe halafu mtoto atokee black 100%!Mkuu ulishawahi sikia kitu kiitwacho Genetics
Mkuu mzazi mmoja akiwa black na mwingine ni mzungu, basi mtoto anaweza kuwa black au anaweza kuwa white au pia anaweza kuwa mchanganyiko(shombe shombe)Mkuu sijawahi kusikia, ila sijawahi kuona mbantu kazaa na mtu mweupe halafu mtoto atokee black 100%!
Hahaaa!!! Ila p Malaya sana,kuna yule demu muhindi alizaa naye mapacha sijui yu kwapi yule demuvijisent tu bab ...hawezi kummudu tena yule demu "" ameshakuwa paka la jiji "" masponcer wote macho kwakwe ""
wakti ule akimiweza kwakuwa demu alikuwa bado hajakuwa ..she was amateur
Inawezekana kuna mwana dingi yake mzungu ila yeye black 100%Mkuu sijawahi kusikia, ila sijawahi kuona mbantu kazaa na mtu mweupe halafu mtoto atokee black 100%!
p..acha kabisaaa ....Malaya sikidogoHahaaa!!! Ila p Malaya sana,kuna yule demu muhindi alizaa naye mapacha sijui yu kwapi yule demu
Kwann mkuuKatika watu nisiowaamini hapa TANZANIA BONGO MOVIE WA KWANZA
mwambie a Google historia ya Ryan giggsMkuu mzazi mmoja akiwa black na mwingine ni mzungu, basi mtoto anaweza kuwa black au anaweza kuwa white au pia anaweza kuwa mchanganyiko(shombe shombe)
Uko vizuri mkuu, umeandika ukweli asilimia 90umalaya Jamaa alikuwaga Malaya ile mbaya "" alikuwa anawala mademu humo humo ndani ambapo anaishi na kajala....kajala aliwahi kumfumania akiwa na ray c ...jamaaa alipita kwa rayc ..na mademu wngine mastaa staa kibao ..halafu ile kibabe babe sasa "" cwajua tena alikuwa anajifnya gangster ...na wakati huo alikuwa top of town Pesa inaongea ...kikubwa alichokisahau tu nikuwa Pesa hazinaga mwnyewe
maigizo mengi na kufekisha lifeKwann mkuu
Mnafukua ma kaburi eehEenheee
😂😂 Kumbe jeeMnafukua ma kaburi eeh
Ila upo tayari kutembea na vitoto vidogo ulivyovizidi umri.... Ama kweli mwanamke staraView attachment 715520
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, amekanusha vikali madai ya kurudiana na baba mtoto wake, prodyuza Paul Matthyasse ‘P Funk’.
Madai hayo yalikuja hivi karibuni baada mwanamama huyo kutupia kipande cha video katika Mtandao wa Snapchat kinachomuonesha akiwa na P Funk.
“Jamani siwezi kurudiana na P, yule atabaki tu kuwa mzazi mwenzangu. Hiyo video tulikuwa tumekwenda shule kumwona mwanetu, Paula, baada ya hapo kila mtu alichukua hamsini zake,” alisema Kajala aliyezaa mtoto huyo mmoja na P Funk.
Muungwana