Kajala: Siwezi kurudiana na P Funk

Kajala: Siwezi kurudiana na P Funk

umalaya Jamaa alikuwaga Malaya ile mbaya "" alikuwa anawala mademu humo humo ndani ambapo anaishi na kajala....kajala aliwahi kumfumania akiwa na ray c ...jamaaa alipita kwa rayc ..na mademu wngine mastaa staa kibao ..halafu ile kibabe babe sasa "" cwajua tena alikuwa anajifnya gangster ...na wakati huo alikuwa top of town Pesa inaongea ...kikubwa alichokisahau tu nikuwa Pesa hazinaga mwnyewe
Ila p funk bado ana hela hela now
 
Mkuu sijawahi kusikia, ila sijawahi kuona mbantu kazaa na mtu mweupe halafu mtoto atokee black 100%!
Mkuu mzazi mmoja akiwa black na mwingine ni mzungu, basi mtoto anaweza kuwa black au anaweza kuwa white au pia anaweza kuwa mchanganyiko(shombe shombe)
 
vijisent tu bab ...hawezi kummudu tena yule demu "" ameshakuwa paka la jiji "" masponcer wote macho kwakwe ""
wakti ule akimiweza kwakuwa demu alikuwa bado hajakuwa ..she was amateur
Hahaaa!!! Ila p Malaya sana,kuna yule demu muhindi alizaa naye mapacha sijui yu kwapi yule demu
 
umalaya Jamaa alikuwaga Malaya ile mbaya "" alikuwa anawala mademu humo humo ndani ambapo anaishi na kajala....kajala aliwahi kumfumania akiwa na ray c ...jamaaa alipita kwa rayc ..na mademu wngine mastaa staa kibao ..halafu ile kibabe babe sasa "" cwajua tena alikuwa anajifnya gangster ...na wakati huo alikuwa top of town Pesa inaongea ...kikubwa alichokisahau tu nikuwa Pesa hazinaga mwnyewe
Uko vizuri mkuu, umeandika ukweli asilimia 90
 
View attachment 715520

STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, amekanusha vikali madai ya kurudiana na baba mtoto wake, prodyuza Paul Matthyasse ‘P Funk’.

Madai hayo yalikuja hivi karibuni baada mwanamama huyo kutupia kipande cha video katika Mtandao wa Snapchat kinachomuonesha akiwa na P Funk.

“Jamani siwezi kurudiana na P, yule atabaki tu kuwa mzazi mwenzangu. Hiyo video tulikuwa tumekwenda shule kumwona mwanetu, Paula, baada ya hapo kila mtu alichukua hamsini zake,” alisema Kajala aliyezaa mtoto huyo mmoja na P Funk.

Muungwana
Ila upo tayari kutembea na vitoto vidogo ulivyovizidi umri.... Ama kweli mwanamke stara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom