Kajala: Wema ni mnafki

walisema mwezi wa nane

Mmh si walisemaga kabla ya ramadhan jaman, nakumbuka sana kibaraka wa wema kule insta jipange alivyokuwa anajishaua mara ooh harus itafanyikia leaders mara ooh sijui nn mambo kibao, aya wambea tukanyamaza kimya tusubir kuumbuliwa na hiyo harusi. Tokea siku hiyo had leo harus naisikia kwenye magazeti ya shigongo, haya tusubir huo mwez wa nane
 
Mmh kashakuwa mama mkwe tena? Kwa ndoa gani? Ndomo na mama yake lao moja wale, wema kama anajihesabia ndoa atasubir sana. Mkwe mwenyew kila mwanamke anamkumbatia

Ndomo na mamake wapo kibiashara zaidi....

Halafu hujaolewa unajimamamkwe?? Khaaa
 
Wema kafuturisha jana kaalika wakwe, mawifi na utamu wake Bwana Platnum Diamond. Kapiga picha kamlalia mama mkwe miguuni mama mkwe amku

Hivi ikatokea domo akamtema sijui itakuwaje huyu bibie maana anavyojiweka Kama mke tayari.
 
Ndomo na mamake wapo kibiashara zaidi....

Halafu hujaolewa unajimamamkwe?? Khaaa

Wema ana ugonjwa na wanaume mastaa, yupo na ndomo kwa kuwa jamaa he is on top now, ngoja awe kam mr nice kama utamwona mama ubaya
 
Wema ana ugonjwa na wanaume mastaa, yupo na ndomo kwa kuwa jamaa he is on top now, ngoja awe kam mr nice kama utamwona mama ubaya

Si ajabu na kipindi hicho wema nae keshakongoroka....

Sijui hajioni umri unakwenda. Hawaoni kina ntuyabaliwe wamesettle na kula maisha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…