warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
walisema mwezi wa nane
Mmh si walisemaga kabla ya ramadhan jaman, nakumbuka sana kibaraka wa wema kule insta jipange alivyokuwa anajishaua mara ooh harus itafanyikia leaders mara ooh sijui nn mambo kibao, aya wambea tukanyamaza kimya tusubir kuumbuliwa na hiyo harusi. Tokea siku hiyo had leo harus naisikia kwenye magazeti ya shigongo, haya tusubir huo mwez wa nane