Kajala yupo tayari kubadilisha dini kwa sababu ya penzi la Harmonize

Kajala yupo tayari kubadilisha dini kwa sababu ya penzi la Harmonize

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,044
Nimeiona hii nikaona isinipite nishee na wenzangu. Hivi, kama mtu atasaliti dini, kumsaliti binadamu mwenzake je?

Full story

 
Kashaona swali lako,halafu ameyeya.Binadamu wazushi sana.
Nimeshangaa sana. Kusini najua ina population kubwa ya waislamu... Ukristo kule ni nadra sana, wakuu.
 
Aaahh bora abadili tu. Angalau kapata bahati ya kufia kwa mmakonde maana ndo Saa sita hio
 
Najua konde boy ni mlokole na alibatizwa na nabii mkuu msemaji wa serikali ya mbinguni Dr Geor Davie kule hemani Kisongo.

Sasa huyu Kajala naye kaamua kuokoka!
Yule anaewaingiza kwenye mikataba naona mashimo nae keshasajiliwa kwenye serikali
 
😂😂 Umeweka vipi mstari juu ya neno?
Unatumia browser? Unavoandika kuna B, I na vidoti vitatu hapo kwa juu kwenye kibox cha kuandikia. Sasa bonyeza vidoti vitatu, utaona S imepigwa mstari. Ndio unaselect sentesi unayotaka afu unaibonyeza iyo S.

Screenshot_20220915-095630.png
 
Back
Top Bottom