Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini alikuwa anawalazimisha kina Nuhu. Enzi hizi anawachoma kwa hasira na kuwashushia gharika!Mungu hana uchaguzi juu ya mwanadamu.Thus mwanadamu ndie uamua akale kiberiti au aingie peponi
😂😂 sistimu tu unatulazimu tuwafuatilieMambo yao waachie wenyewe...
Aliwaonya kabla lakiniLakini alikuwa anawalazimisha kina Nuhu. Enzi hizi anawachoma kwa hasira na kuwashushia gharika!
Hata sasa ameshatuonya kabla!Aliwaonya kabla lakini
😂😂 Ukichimama nchale, ukikaa nchaleNaona kajala amenogewa na utamu wa kusini
Chezea utamu wewe
Anaweza kuropoka TOZO? kuwaambia watu wahamie BURUNDI? 😂Wewe upewe Uwaziri wa Fedha. Fast learner.
Unatumia browser? Unavoandika kuna B, I na vidoti vitatu hapo kwa juu kwenye kibox cha kuandikia. Sasa bonyeza vidoti vitatu, utaona S imepigwa mstari. Ndio unaselect sentesi unayotaka afu unaibonyeza iyo S.
View attachment 2357642
Hizi punchline ya nani vile mkuu! Nikumbushe. Kuna pahala nimewahi kuisikia sikumbuki wapi?Money brings bitches, bitches bring lies 🤥
😂😂 Nani? Majani au?Ex wa kajala anamchek tu kond
[emoji1]
Ova
Tupac, all eyez on meHizi punchline ya nani vile mkuu! Nikumbushe. Kuna pahala nimewahi kuisikia sikumbuki wapi?
Acha niisikilize hii track tena, mkuu.Tupac, all eyez on me
Kajala alifunga ndoa,bomani na smbdy faraji...walikuja kuachana[emoji23][emoji23] Nani? Majani au?
Mademu wanatakaga hela halafu hawajui maisha kama graph tu. Yanapanda na kushukaKajala alifunga ndoa,bomani na smbdy faraji...walikuja kuachana
Kutokana na misukosuko fulani jamaa alipata
Ova