Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uzuri wa wimbo upo kwenye viewers? Wingi wa watazamaji ni ushabiki nasio uzuri wa kituNi mastar wawili wenye msjina makubwa lakini hawana nguvu kubwa kama ya yule anayepigaga views 1milion kwa siku tatu na views 3milion in one week, jpil ijayo nenda youtube utakuta bado inasumbuka kuipata laki nane
kuna msanii kila nyimbo analia tuNaupa wiki moja tu huwu wimbo baada ya apo utafata njia za zingine zilizopita kama
Nitulize
Nisamehe
Averina
Ubunifu zero plus same melody kwa kila nymbo