princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
wenye wivu wajinyonge leoooooo...Wimbo ni mzuri na Video ni nzuri LAKINI nao utafifia mara moja kama ule wa Salome ulivyochuja faster. Tatizo ni moja tu, wasanii hao wote waliipigia kampeni CCM ile mwaka jana ili watanzania tuisome namba, sasa ni zamu yao kuisoma namba pia.
Kwanza walipe Kodi.
Watanzania hatutakagi ujinga.
salome haichuji jamani.....!!!!!!!!
tusiongopeane