Salome pia ulichukua wiki tu kusikikaNaupa wiki moja
Hii ni ratiba yake inasema hivyo alianza na kushirikishwa sasa anashirikiana na baada ya hapa zile nyimbo kali zilizo njiani atazitoa kabla huu mwaka haujaishakolabo hazimsaidii kiba kupaisha jina lake kwa sasa,nadhani mafanikio ya Diamond yanampa kiba tatizo la kisaikolojia
Ah sema tu ukweli usizunguke yule jamaa fundi sanaKibakuli lina sauti nzuri ila wimbo n mbayaaaaa sehemu alizoimba dimpoz
Kumbe una timu na weweWimbo ni mbovu mno.. hii bongo fleva sijui inaelekea wapi, yani huu uchafu unausifia sababu tu ni msanii wa timu yako
Naupa wiki moja baada ya apo utazifata peponi zilizotangulia maana naona kutoa nyimbo cku iz cyo ubunifu tena Bali fashion sizisikii tena iz ngoma wakati hazijamaliza ata mweziAise kaimba ad anaboa... huyu jamaa anajua kuitumia saut yaje balaa, huu wimbo nakuambia utawika zaid ya miaka mitano 7bu ya hyo saut ya ally... ngoja tusubr upande wa pil kwa wivu nao watoe zile nymbo zao znazochuja baada ya wik km big g..
Salome hadi leo inakimbiza kitaani ina view weng YouTube kwa mda mchache ni ishara tosha kuwa ngoma ni balaaaSalome pia ulichukua wiki tu kusikika