Kajiandae; Balaa jipya toka kwa Ommy Dimpoz na Alikiba

Kajiandae; Balaa jipya toka kwa Ommy Dimpoz na Alikiba

Kibakuli ana gundu alilopewa na kidoti_ Diva the bawse.
 
Amazing,
Big up King Kiba,
Big up Ommy,

[HASHTAG]#KAJIANDAE[/HASHTAG]
 
Kibakuli lina sauti nzuri ila wimbo n mbayaaaaa sehemu alizoimba dimpoz
 
kolabo hazimsaidii kiba kupaisha jina lake kwa sasa,nadhani mafanikio ya Diamond yanampa kiba tatizo la kisaikolojia
Hii ni ratiba yake inasema hivyo alianza na kushirikishwa sasa anashirikiana na baada ya hapa zile nyimbo kali zilizo njiani atazitoa kabla huu mwaka haujaisha
 
Ila mimi nakerwa tu kung'ang'ania kuvaa haya mavazi ya kinigeria hapo tu ndipo tunapoharibu
 
Aise kaimba ad anaboa... huyu jamaa anajua kuitumia saut yaje balaa, huu wimbo nakuambia utawika zaid ya miaka mitano 7bu ya hyo saut ya ally... ngoja tusubr upande wa pil kwa wivu nao watoe zile nymbo zao znazochuja baada ya wik km big g..
Naupa wiki moja baada ya apo utazifata peponi zilizotangulia maana naona kutoa nyimbo cku iz cyo ubunifu tena Bali fashion sizisikii tena iz ngoma wakati hazijamaliza ata mwezi

Nitulize
Nisamehe
Averina

Au kuna figisu
 
Wallah nmeamini ,hater ni hater tuu, hata aone cake atasema ni mavi!.!
 
Sijajua Ommy kaimba nini.... Bora nyimbo nzima angeimba Alikiba..
Nimeikata sehemu alipoimba Ommy, nasikiliza chorus na verse ya Alikiba....
So far, nyimbo ni nzuri.
 
Back
Top Bottom