Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ niweke picha hapa muisambaze huko dada wa watu aaibike

Nimewaza sana kuhusu kumuuliza lakini nasita maana nimehisi kama kuna kitu kinaendelea kwasababu from nowhere mtu ananifollow kanijuaje
 
PM ipo wazi...
 
Weka picha tuone
 
Ndumu tu ndio unaona maajabu ya kutumiwa picha mwenzio kakutumia kala ndumu...
Hebu nipeni majibu ya kueleweka moyo unafukuta hapa sijui nifanye kitu gani kama nimtumie hiyo picha halafu nimwambie tuachane ๐Ÿ˜Œ
 
Nipe kwanza ushaurii moyo unaniuma
Mi huwa sina huo muda wa kuwaza mtu kiukweli, ningeblock wote wawili nikatembea.. or else unamtaka sana huyo bwna.. sina ushauri mzuri kwnye mapenz shorii ni violence tu kwenda mbele๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ