Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

Inavyoonekana ni kama hawa watu waliachana au wapo pamoja yaani mie ndio nimemkuta ila sasa ndio ananilingishia sasa kama anajiamini ni wake si angeshare kwa wote kwanini anitagg mimi tu matako yake
Muachie tu mtu wake mama, njoo tuyajenge maisha.
 
Jamani we kaka umemkomalia mwenzio ataje idadi kwann lakini😂 baada ata umpooze ndo kwanza umekazania idadi nyoh!
Wewe dada kwani hua hauhesabu idadi ya mabao unayopigwa au hua unaacha goli wazi tu hudaki mashuti?
 
Nje ya tanzania kuna ghana kenya uganda etc, or else unataka wazungu babes
Mimi tofauti na wazungu bora nipambane na wabongo siwaamini kabisa watu weusi nnje ya Tz
 
instagram kuna nafuu, tiktok mtu anapost video au picha wakiwa kwenye gari na anakuambia kabisa ndio anamsindikiza mumeo safari ya kikazi ambayo asingeweza kukubeba wewe
Na wewe umebaki kulea watoto, wao wako vacay upo?😂😂😂 aki marriage is a scam😩
 
Mimi tofauti na wazungu bora nipambane na wabongo siwaamini kabisa watu weusi nnje ya Tz
Wazungu wengi ni ma-psychopath shawty don’t get twisted na mitandao! U better know them personally..
 
instagram kuna nafuu, tiktok mtu anapost video au picha wakiwa kwenye gari na anakuambia kabisa ndio anamsindikiza mumeo safari ya kikazi ambayo asingeweza kukubeba wewe
🤣🤣🤣🤣🤣 hasa mimi sielewagi wana maana gani kwani kama mtu anataka akupe taarifa si akutumie inbox akwambie kinachofanya apost mitandaoni ni kuniringishia au nini
 
Wewe mwenye kazi mbona umeangalia post zote sio kwamba tutafute wote kazi

Hata kama ni chai inapaswa iwe na viungo na viuongo vyenyewe ni comments zenu
Kuangalia post zako haimaanishi nimesoma post zako,heading tu inatosha kujua kilichomo,

Kupitia headings za post zako na kutunga vitu vya uongo,kuviandika na kuvipost JF,kipi kinakula muda? Hata hilo umeshindwa kulijua?
 
Mpo wengi nyie vumilia tu kumjua mwenzio
 
Yaan wewe utateseka sana ,cha kukushauri achana na mambo ya kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…