Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

kadogo2 nitakuoa mamtu kua na amani
 
Huyo mwanamke inavyoonekana ni kwamba mimi nimemkuta maana mimi na huyo kijana hatuna mda mrefu sana

Alinambia tu kuna mwanamke waliachana sikutaka kujua sana ila mimi nimeanza nae mahusiano mwaka huu
Ndio maana
Muulize kama bado anamahusiano naye
 
Ndio maana
Muulize kama bado anamahusiano naye
Nilimtumia picha nikamwambia amwambie huyo mdada aache ku share na mimi hizo picha sihitaji kuona
Basi baadae yule dada akanitafuta akaanza kuuliza uhusiano wangu na yule kijana, nikamwambia amuulize muhusika atamwambia mimi ni nani .. akasema kijana kawa mkali kiasi kwamba wameshindwa kuongea
Kiufupi yule dada ameongea mengi sana mpk nikajikuta namuonea huruma.. anasema mwanaume tangu mwezi wa 8 hawako vizuri hata kuonana hawaonani ndio kufuatilia akaona jamaa alinipost kipindi fulani

Kiufupi mimi mwenyewe mahusiano yameshanishinda mwanaume mwenyewe anaonekana bado hayuko tayari kuwa serious
 
Huyo mpaka anakutafuta wewe, jua mahusiano yake na mwanaume wenu yapo hatua za mwisho. Anachofanya ni kukuchochea wewe upanick uanzishe vurugu kwa mwanaume. Tulia kama hujui kinachotokea ila atakuja kukuita wewe mchawi unamroga kisa tu mission ya kukuvurugq haijafanikiwa
 
Uzi ufungwe.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Ila mapenzi yanakutesasana binti sanaaaa tafuta dume inayojitambua olewa acha mahusiano na mabishooo, acha mahusiano na wale wanaume unaoona wana wanawake wengi

Utakuja kunishukuru baadae
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Ila mapenzi yanakutesasana binti sanaaaa tafuta dume inayojitambua olewa acha mahusiano na mabishooo, acha mahusiano na wale wanaume unaoona wana wanawake wengi

Utakuja kunishukuru baadae
Natamani nikutumie hata picha umuone mtu mwenyewe yaani ni sura personal halafu mkimya sana sio bishoo kiufupi ni bhangosha ila mmh
 
Natamani nikutumie hata picha umuone mtu mwenyewe yaani ni sura personal halafu mkimya sana sio bishoo kiufupi ni bhangosha ila mmh
Tuma pm hapo ila wewe unateseka sana na mapenzi dadaangu shida nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…