conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 811
- 681
WATANZANIA WENGI WAMEKUWA WAKINITUMIA UJUMBE WAKINIOJI KUWA TANZANIA NIMEIFANYIA NINI KATIKA TASNIA YA MICHEZO.
Kwanza nimekuwa nikilikwepa swali hili makusudi, mimi ni Mtanzania sio lazima nitoe kitu chochote na nikifanya si lazma nijieleze , nikumbushe baadhi licha ya kwamba nina muda mrefu siishi nchini kwangu TANZANIA mojawapo ni :
1.Niliponunua TIMU ya Sigara na kuibadilisha jina ikaitwa "Kajumulo FC" ilikuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki kuendeshwa kitaaluma (full professional ), Wachezaji kazi yao kucheza mpira tu na wanalipwa stahiki zao zote kila mwezi.
2. KAJUMULO FC iliyokuwa na wachezaji wa kitanzania niliipeleka Brazil kufanya mazoezi kwa mwezi mmoja ili iwe chuma cha pua.
3. TIMU ikiwa BRAZIL Niliajiri Makocha ambao wameshinda kombe la dunia kufundisha timu KAJUMULO FC ilikuwa na watu 35 ikiwemo viongozi na waandishi wa habari.
4. Nililipia YANGA kwenda Uganda kushiriki kwenye kombe la AFRICA MASHARIK NA KATI ambapo YANGA ilishinda kombe hilo.
5.Niliwapa MRADI TIMU ya SIMBA na YANGA wa nguo bure ili wauze kupata pesa za kujitegemea.
6. Nilitoa kiasi cha shilingi milion tano kwa Simba na Yanga kama sehemu ya bidii ya kuboresha timu .
7. Nilimleta Mr PONDAMALI aje kujifunza UGOLI KIPA na Doctor Karimba kujifunza UKOCHA kwa siku 60 nchini MAREKANI.
8. TIMU ya taifa ya Tanzania niliilipia kweda Ghana kucheza na timu ya taifa ya Ghana ikiwemo hotel, malazi na viatu vya kuchezea .
9. Wakati wa kurudi kutoka Ghana ndege iliharibika Kenya nikakodi ndege ya kuwaleta wachezaji toka Kenya kwenda dar es Salaam.
10. Nimewapa WATANZANIA NANE scholarship kuja nje kusoma.
10. Nililipa pesa zote kusafirisha Tanzania stars kwenye kombe la vilabu vya Afrika na nikawapa jezi na viatu pia.
Hayo yote ni kwa mapenzi ya nchi yangu na kutaka NDUGU ZANGU watanzania kupenda MICHEZO na kujifunza.
NAIPENDA TANZANIA na NAPENDA MICHEZO YOTE. "MUNGU IBARIKI TANZANIA"