Kajunguti na Kituntu boys mpo?

Kajunguti na Kituntu boys mpo?

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Wadau tunaendelea kutafutana kwa mashule tuliyopitia. Naomba kujua kama kuna wale waliopitia Kajunguti na Kituntu, wazee wa New Field, Kajunguti A, Kajunguti B, Sahara, etc ...
Bila shaka hamtasahau Salus na Kapernaum.
Karibuni tutambulishane jamani .....
Najua wengi wenu mliofika huko hamtasahau Ilungata kwenye Pre-"...." yake.😀
 
Mutensa,

Hii shule ipo Uganda au? Kajunguti sound like "nyankole"?
 
Back
Top Bottom