Kaka aachiwa urithi wa mamilioni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Niliiona kwenye gazeti la ulaya kuwa kuna mjane aliyeachiwa pesa na mumewe na hakuwa na mtoto. Alinunua paka na kuishi nae, paka yule alikuwa saa ngapi bibi anaamka na akichelewa atamwita

Bibi yule alivyoaga dunia urith wake wote alimuachia paka. Aliwausia wadhamini wahakikishe paka yule anakula na kulala vizuri na kutibiwa kwa veterinary yeyote kwa gharama yeyote mpaka afya yake itengemae.

Paka yule atakapokufa pesa iliyobaki ipelekwe kwenye Cat Welfare Association usaidie pakaxeenginecwenye uhitaji.

Majirani hasa watoto watukutu walimuona wivu paka yule na kutaka jumuia kwa kumpopoa mawe. Police wakishirikiana na RSPCA walimtafutia paka nyumba yenye usalama na aliyekubali kumtunza alipewa £200,000 pesa za maradhi za paka yule.
 
Sky Eklat Uzi wako unamakosa mengi yakiuandishi kuanzia Heading mpaka Kwenye Content yenyewe. BTW story is much interesting. [emoji3]
 
Natumai Kaka kwenye Heading ilitakiwa kusomeka Paka
 
Nilifikiri kaka yako nilitaka nimwombe helq,kumbe ni paka.
 
Mods ninaomba mnisaidie kubadilisha heading
 
JAMAA MIMI NINA UJUZI WA KUFUGA NA KUWATUNZA PAKA HASA WA KIZUNGU.
HATA KUMCHAMBA AKIJISAIDIA NAWEZA.NIUNGANISHIE FURSA KWA HUYO PAKA BOSI
 
Nilikuwa najiuliza kwa nini muafrika anajikuta anasema BORA NINGEZALIWA MBWA ULAYA/MAREKANI KULIKO NILIVYOZALIWA BINADAMU HUKU AFRIKA sasa nimepata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…