Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Niliiona kwenye gazeti la ulaya kuwa kuna mjane aliyeachiwa pesa na mumewe na hakuwa na mtoto. Alinunua paka na kuishi nae, paka yule alikuwa saa ngapi bibi anaamka na akichelewa atamwita
Bibi yule alivyoaga dunia urith wake wote alimuachia paka. Aliwausia wadhamini wahakikishe paka yule anakula na kulala vizuri na kutibiwa kwa veterinary yeyote kwa gharama yeyote mpaka afya yake itengemae.
Paka yule atakapokufa pesa iliyobaki ipelekwe kwenye Cat Welfare Association usaidie pakaxeenginecwenye uhitaji.
Majirani hasa watoto watukutu walimuona wivu paka yule na kutaka jumuia kwa kumpopoa mawe. Police wakishirikiana na RSPCA walimtafutia paka nyumba yenye usalama na aliyekubali kumtunza alipewa £200,000 pesa za maradhi za paka yule.