Kaka Kama umeoa we tulia tu na moron maana nyumba ndogo ni kubwa kuliko nyumba kubwa

Kaka Kama umeoa we tulia tu na moron maana nyumba ndogo ni kubwa kuliko nyumba kubwa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kama umeoa tulia tu na mkeo , maana nyumba ndogo Ni kubwa kuzidi nyumba kubwa .

Mnaweza Kupata ushauri kwa wenye nyumba ndogo.
 
Sio kwel mbona DeepPond anaacha 25 kwa mkewe na 15 kwa mamaj
Kubwa kubwa tu na ndogo ni ndogo tu
 
Kimada ndie mwanamke anaefatiza vizuri semina za ndoa. Hakuna mwanamke mwema kama kimada, ukimuweka ndani tu nae ujisahau SAwa na mke Mkubwa.
Kimada ni SAwa na mhitimu wa chuo anaejitolea akisotea Kazi, mke ni SAwa na mwajiriwa mwenye mikataba yote yaani SAwa na mfanyakazi anaecheze kazi. Kimada ni mfanyakazi wa kujitolea.
At the end utagundua wote ni sawa tu bora ubakie njia kuu na zigo lako lililokuzalia watoto. Ukikua au ukifilisika ndio utaelewa huu msemo.
 
Mchepuko, kimada wote ni watamu , jichanganye umuweke ndani umeruka mkojo utaona nafuu hata njia kuu.
Ni watamu kwa sababu anakupa feki life Ili kuipukutisha wallets yako
 
Back
Top Bottom