Kaka Madeleka, nakusihi urejee CHADEMA mapema, uhusike kujenga Chama, na uanze kuandaa Njia yako ya Ubunge Mapema !!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Ninakuona una akili Kubwa na Huru, japo baadhi ya Nyakati, Maisha ya Kisiasa na fujo zake zinakuondoa katika Mstari.

Sasa basi, Wagombea Ubunge kupitia CHADEMA Uchaguzi ujao ( si lazima tufike 2030).
Watakua ni wale waliohusika Kujenga Chama katika kipindi hiki kigumu.

Kwa Lissu na Heche, Hatatokea yoyote from nowhere apewe Nafasi ya kuwania Ubunge, wakati Chama kilipokua katika Shoruba, hakua sehem yetu.

Huo ujinga na ujuha, ni WA CCM na vyama chapa maandazi.

RAI YANGU...Kwa Mtanzania mwenye Nia ya kua Kiongozi kupitia CHADEMA, Anza kuwajibikia na kutimikia Chama, Hatutaruhusu walioumizwa na kupotezwa wakoswe nafasi za kugombea, HATUTARUHUSU HILO!!.
 
MADELEKA soma hiyo, najua wewe ni member mwaminifu humu
 
Wafuasi mandazi wa hivi vyama mnachekesha sana.

Hawa wasio na agenda yoyote bali kupata ubunge wala siyo wa kuwatilia maanani.

Kaihama CDM kisa haishiriki uchaguzi,kakosa huko,arudi tena CDM?
 
Alishaharibu tayari huyo..alikuwa ameanza kumezewa mate na Wana-Ilemela- Mwanza huko..mara huyoo ACT tena ,aliponusa tu taarifa za - No Reforms No Election -na akaenda kugombea Ubunge Geita-huko pasipokuwa na ufahamu wa kutosha juu ya makundi ya kura ya kijamii ya huko likiwemo la Wachimbaji wa Dhahabu Wadogo,Wa kati na Ma Miner.wa GGM ,nk..?????!
 
Ninakuona una akili Kubwa na Huru, japo baadhi ya Nyakati, Maisha ya Kisiasa na fujo zake zinakuondoa katika Mstari.

Sasa basi, Wagombea Ubunge kupitia CHADEMA Uchaguzi ujao ( si lazima tufike 2030).
Watakua ni wale waliohusika Kujenga Chama katika kipindi hiki kigumu.

Kwa Lissu na Heche, Hatatokea yoyote from nowhere apewe Nafasi ya kuwania Ubunge, wakati Chama kilipokua katika Shoruba, hakua sehem yetu.

Huo ujinga na ujuha, ni WA CCM na vyama chapa maandazi.

RAI YANGU...Kwa Mtanzania mwenye Nia ya kua Kiongozi kupitia CHADEMA, Anza kuwajibikia na kutimikia Chama, Hatutaruhusu walioumizwa na kupotezwa wakoswe nafasi za kugombea, HATUTARUHUSU HILO!!.
Huu Uzi umeandika au umeandikiwa?
 
Wafuasi mandazi wa hivi vyama mnachekesha sana.

Hawa wasio na agenda yoyote bali kupata ubunge wala siyo wa kuwatilia maanani.

Kaihama CDM kisa haishiriki uchaguzi,kakosa huko,arudi tena CDM?
Yale Yale anakuacha anaolewa kwingine, huko ameshapigwa Miti Sana, baadae anarudi kwako anasema anatupenda na wewe unaingia kichwa kichwa
 
Tusijimilikishe Chama, Kuna watu wamewah kuisaliti CHADEMA, Kurudi kwao, si lazima tuwape Nafasi zinazoruhusu wao kupata Taarifa nyeti za Chama
 
Suala siyo kujimilikisha chama, suala ni kuzuia watu wenye nia za kuhujumu chama. Mtu yoyote timamu anajua Madeleka ni pandikizi. Mke wake alishaitisha press conference na kueleza umma kwamba ameoteshwa kwamba January na Nape wasipobadilika, wataanguka kisiasa. Hii yote ilikuwa ni namna ya kuandaa WaTZ wasishangae Makamba na Nape wakiwekwa bench. Muangalie anavyomuongelea SSH, just read btn the line uone. Chama ni cha kila mtu, ila siyo cha Wahujumu mageuzi
 
Back
Top Bottom